Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?

Wana JF,

Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.

Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.

Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Kuna baadhi ya wanawake wameumbwa kwaajili ya wanaume,,na kuna wanawake wameumbwa kuwa wake za watu,,so be carefully
 
Wana JF,

Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.

Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.

Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Mara nyingi nyie mnakuwaga new member

Mnavituko ninyi watu FB kumejaa mmeona mkimbilie na huku

Pambana na mwanaume wako wenye malengo utaishia kuwaona kwenye Tv ya basha wako
IMG_20171222_221045_779.jpg
 
Wana JF,

Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.

Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.

Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Ukilowana je?
 
Si kila kitu kumsingizia mwanamme, kaa chini uongee naye mpenzi wako ujuwe tatizo ni nini. Mwanamme akishajuwa mkewe ama girl friend wake mgawaji au alikuwa na tabia ya kuliwa tigo huko nyuma kabla ya mahusiano LAZIMA tu atakugeuka, no matter what. Jitazame wewe mwenyewe kwanza, tatizo ni nini?
 
Wana JF,

Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.

Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.

Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Wewe ndo tatizo ukiona hivyo. Mwanamke unatakiwa uwe mpole
 
Wana JF,

Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.

Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.

Sitaki mwanaume kuanzia sasa

ngoja kwanza anza mwanzo... imekuaje kwani?
 
Pole sana kihuba...ukiona mapenzi yanakuchanganya tafuta pesa siku hizi wanawake na maendeleo muondoe huyo jinamizi kichwani kwako waza utaingiza VP pesa.....usikae kumuwazia ukapata ugonjwa wa moyo....
na lishindo atapata wapi?mana mwanamuke bila lishindo akili zinaluka
 
Back
Top Bottom