Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?

Hee imekuaje tena na huyo "Mwanaume Mashine aka Adam wako"? ama kweli mgema akisifiwa tembo hulitia maji !! angalia ulipojikwaa umka, jipanguse, songa mbele.
 
Kihuba mimi Kedekede niko tofauti njoo huku kwenye upepo unakovuma
 
Wana JF,

Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.

Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.

Sitaki mwanaume kuanzia sasa

Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF,

Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.

Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.

Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Km kuna mwanaume alikupenda ukamdengulia na dharau ukamletea huu ndiyo wakati wake wa kumkumbuka. Unatamani hata siku zirudi nyuma urekebishe makosa.
Mpaka umeamua kupaki mashine siyo mchezo kwa kweli. Naona ile kauli yako ya kutaka kuwa malaya inakaribia kutimia
Pole sana
 
Maamuzi wakati wa shida, jaziba na furaha huwa si maamuzi sahihi
 
Acha upuuzi wewe

...

Unajiskia tu kuanzisha uzi..
 
Back
Top Bottom