Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
Inawezekana aliomba uroda akanyimwa.Ila kwa pale ameonewa yule mbunge, mbona amevaa kawaida na ki staha kabisa. Yule babu kizee ana lake jambo khaaaah.

Ndio hivyo.Ukizoea kula nyama za watu huwezi kuacha.Baaada ya kuwakosa wabunge wa CHADEMA wa kuwaonea bungeni ina maana mibunge ya CCM imeanza kuoneana yenyewe kwa yenyewe?
Sawa mkuu zako nzuriUna akili za hovyo sana, hata kama ni chuki hii yako imezidi.
Na wote hawana faida kwa taifaWote walipita bila kupingwa !!
Ameonewa sanaKwa ukweli huu ni udhalilishaji wa makusudi kabisa ambao umefanywa kwa mbunge huyu mwanamke.
Nimeangalia suruali aliyovaa huyu dada si zile suruali za kubana maumbo. nimeshangaa hata spika kutotumia busara kuona kuwa huyu alipaswa kwanza aachwe then aje aangaliwe baadaye.
Kama alishakuwa ameingia bungeni na amekaa, kitendo cha kumsimamisha na kumwondoa hakikuwa cha kistaarabu hata kidogo. Ni wazi kuna jambo ambalo huyu mtoa mwongozo alikuwa nalo dhidi ya mbunge huyu. Maskini mdada wa watu!
Nimengalia ile suruali aliyovaa nyuma mpaka kama inataka kumvuka. Why leo hii ionekane ni ya kuvunja maadili wakati kuna wabunge wengi tu ambao wamekuwa wakivaa sketi ndefu lakin za kubana? Na wanaovaa sketi fupi wapo wengi tu ambao siku zote tunawaona bungeni.
Ilipaswa spika atoe maelezo na kuwa kuanzia kesho jambo kama hilo lisijirudie. lakini kumwondoa mbunge huyu kwa style hii ni kumdhalilisha sana hasa hasa kwa nguo aliyovaa haikuwa ya kubana kuonesha maungo kusema kuwa haikuwa ya staha. Huyu mzee mtoa mada ni wazi kabisa inawezekana ana lake jambo kwa mbunge huyo na amejenga chuki kutokana na jambo hilo.
Anaonekana ni mtu mzima aliyekosa busara, ana mihemko, chuki na husda kwa mtendwa. Angekuwa na busara asingeli-approach jambo hilo kwa style hiyo. Ameli-approach jambo la kiume kama mvulana. Ni bora angeomba ushauri kwa sisi wanaume gentlemen tungemshauri afanye nini.
Nashukuru kwa sasa wapizani hawapo. Wachawi wakimaliza kula watoto wa wengine. Huanza kula wao. Wakimaliza kula wao wanaanza kulana wao kwa wao.
View attachment 1804793Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo
Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili. Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia...www.jamiiforums.com
Hahahaha hahahaahahaa hahahaahaahaahMigambo inaruka na kukanyagana yenyewe.
Kwa mavazi haya I swear mtoa hoja ana lake jambo.Kwa ukweli huu ni udhalilishaji wa makusudi kabisa ambao umefanywa kwa mbunge huyu mwanamke.
Nimeangalia suruali aliyovaa huyu dada si zile suruali za kubana maumbo. nimeshangaa hata spika kutotumia busara kuona kuwa huyu alipaswa kwanza aachwe then aje aangaliwe baadaye.
Kama alishakuwa ameingia bungeni na amekaa, kitendo cha kumsimamisha na kumwondoa hakikuwa cha kistaarabu hata kidogo. Ni wazi kuna jambo ambalo huyu mtoa mwongozo alikuwa nalo dhidi ya mbunge huyu. Maskini mdada wa watu!
Nimengalia ile suruali aliyovaa nyuma mpaka kama inataka kumvuka. Why leo hii ionekane ni ya kuvunja maadili wakati kuna wabunge wengi tu ambao wamekuwa wakivaa sketi ndefu lakin za kubana? Na wanaovaa sketi fupi wapo wengi tu ambao siku zote tunawaona bungeni.
Ilipaswa spika atoe maelezo na kuwa kuanzia kesho jambo kama hilo lisijirudie. lakini kumwondoa mbunge huyu kwa style hii ni kumdhalilisha sana hasa hasa kwa nguo aliyovaa haikuwa ya kubana kuonesha maungo kusema kuwa haikuwa ya staha. Huyu mzee mtoa mada ni wazi kabisa inawezekana ana lake jambo kwa mbunge huyo na amejenga chuki kutokana na jambo hilo.
Anaonekana ni mtu mzima aliyekosa busara, ana mihemko, chuki na husda kwa mtendwa. Angekuwa na busara asingeli-approach jambo hilo kwa style hiyo. Ameli-approach jambo la kiume kama mvulana. Ni bora angeomba ushauri kwa sisi wanaume gentlemen tungemshauri afanye nini.
Nashukuru kwa sasa wapizani hawapo. Wachawi wakimaliza kula watoto wa wengine. Huanza kula wao. Wakimaliza kula wao wanaanza kulana wao kwa wao.
View attachment 1804793Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo
Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili. Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia...www.jamiiforums.com
Hii hapaWeka picha, naitafuta sana ili niweze kusema chochote kuhusu hii kadhia