ONTARIO
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 1,885
- 17,018
Nawasalimu ndugu zangu wa JF, Habarini!
Niende moja-kwa-moja kwenye mada husika.
Mimi ni kijana (21), mjasiriamali wa kilimo na mwanafunzi (UDSM).
Kutokana na harakati zangu za kilimo cha biashara, huu mwaka umekuwa wa mafanikio sana kwangu na kwa kampuni yangu pia, hii imeniwezesha kupata media coverage kubwa hasa nilipomulikwa na CCN startup Africa, How we made it in Africa, venture africa, ALU, mkulima young, pamoja na blogs nyingi ikiwemo millard_ayo.com. Pia nimeweza kupata membership TPSF.
Media coverage hii imeniwezesha kupata connections nyingi sana, ndani na nje ya nchi. Sasa ningependa niwashirikishe hii fursa kubwa zaidi kutoka India.
Kuna mfanyabiashara mkubwa kutoka India alinitafuta kupitia twitter, tukapeana emails, then tukaanza mawasiliano. Huyu bwana anahitaji tufanye partnership katika kilimo_biashara...
Anahitaji tufanye biashara ya pigeon peas, kwanza hapo awali sikumwelewa. Nikazama google nikagundua kuwa hizo pigeon peas ni mbaazi, na kwa hapa Tz zinalimwa sana mikoa ya kusini. Hitaji la jamaa ni kwamba niwe nasupply kwake 50 metric tons kila mwezi, ambapo alidai 1 ton ni $900 kwasasa. Ijumaa last week akaniuliza kama naweza kupata 500 metric tons kabla ya xmas.
Nilipopiga hesabu zangu za haraka-haraka nikaona uwezo wangu kusupply hiyo tender ni mdogo sana, kiasi kwamba sitaweza kukidhi hitaji lake, while at the same time sitaki nimpoteze kizembe zembe. So nikamuomba huyu bwana awe mvumilivu kwanza wakati mimi natafuta plan B. Nikamwambia nitamtafuta soon nitakapoweka vitu sawa.
Pia jamaa alikuwa attracted sana kufanya kilimo hicho cha mbaazi hapa Tz, nikamweleza inawezekana sana, akaniwekea tenda mezani nimtafutie shamba la kukodi heka 100 kwa kuanzia. Kwa haraka-haraka nikamweleza mashamba ya kukodi yapo, na ni 100,000/ha, jamaa akasema nifanye hima by Nov nimpe feedback.
Naleta kwenu hii fursa ndugu zangu wa JF, tukamate hii fursa tuendeleze mapambano ya kuinua kilimo cha mkulima wa hali duni...
Malila Chasha Poultry Farm Kubota Mama Joe Watu8 mwekundu boss Sikonge Mkoroshokigoli Mzuzu Msanii n.k n.k karibuni sana.

Last edited by a moderator: