Nakushirikisha Fursa nono ya kibiashara nchini India

ONTARIO

JF-Expert Member
Oct 16, 2013
1,885
17,018
Nawasalimu ndugu zangu wa JF, Habarini!

Niende moja-kwa-moja kwenye mada husika.
Mimi ni kijana (21), mjasiriamali wa kilimo na mwanafunzi (UDSM).

Kutokana na harakati zangu za kilimo cha biashara, huu mwaka umekuwa wa mafanikio sana kwangu na kwa kampuni yangu pia, hii imeniwezesha kupata media coverage kubwa hasa nilipomulikwa na CCN startup Africa, How we made it in Africa, venture africa, ALU, mkulima young, pamoja na blogs nyingi ikiwemo millard_ayo.com. Pia nimeweza kupata membership TPSF.

Media coverage hii imeniwezesha kupata connections nyingi sana, ndani na nje ya nchi. Sasa ningependa niwashirikishe hii fursa kubwa zaidi kutoka India.

Kuna mfanyabiashara mkubwa kutoka India alinitafuta kupitia twitter, tukapeana emails, then tukaanza mawasiliano. Huyu bwana anahitaji tufanye partnership katika kilimo_biashara...

Anahitaji tufanye biashara ya pigeon peas, kwanza hapo awali sikumwelewa. Nikazama google nikagundua kuwa hizo pigeon peas ni mbaazi, na kwa hapa Tz zinalimwa sana mikoa ya kusini. Hitaji la jamaa ni kwamba niwe nasupply kwake 50 metric tons kila mwezi, ambapo alidai 1 ton ni $900 kwasasa. Ijumaa last week akaniuliza kama naweza kupata 500 metric tons kabla ya xmas.

Nilipopiga hesabu zangu za haraka-haraka nikaona uwezo wangu kusupply hiyo tender ni mdogo sana, kiasi kwamba sitaweza kukidhi hitaji lake, while at the same time sitaki nimpoteze kizembe zembe. So nikamuomba huyu bwana awe mvumilivu kwanza wakati mimi natafuta plan B. Nikamwambia nitamtafuta soon nitakapoweka vitu sawa.

Pia jamaa alikuwa attracted sana kufanya kilimo hicho cha mbaazi hapa Tz, nikamweleza inawezekana sana, akaniwekea tenda mezani nimtafutie shamba la kukodi heka 100 kwa kuanzia. Kwa haraka-haraka nikamweleza mashamba ya kukodi yapo, na ni 100,000/ha, jamaa akasema nifanye hima by Nov nimpe feedback.

Naleta kwenu hii fursa ndugu zangu wa JF, tukamate hii fursa tuendeleze mapambano ya kuinua kilimo cha mkulima wa hali duni...

Malila Chasha Poultry Farm Kubota Mama Joe Watu8 mwekundu boss Sikonge Mkoroshokigoli Mzuzu Msanii n.k n.k karibuni sana.
 
Last edited by a moderator:
Ni muda mrefu nimesikia habari za mbaazi kutafutwa sana India, mashamba yapo ya kulima mbaazi, karibu kila sehemu Tanzania mbaazi zinamea vizuri.

Naweza kuwa mdau kwa utafuta mashamba yanaofaa.

Nashukuru mkuu Malila kwa jibu lako.

Je hekari 100 kwa ajili ya kilimo cha mbaazi zinaweza kupatikana zote kwa pamoja??

Kwa uzoefu wako, je kuna uwezekano wa kukusanya 50 tons kwa kila mwezi kutoka kwa wakulima wengine (wadogo-wadogo)
 
Last edited by a moderator:
Hivhi ni kitu ambacho watu wanaweza kufanya wakiwezeshwa ili wafuatilie hii ishu kwa ukaribu mbona rahisi sana
 
Nawasalimu ndugu zangu wa JF, Habarini!

Niende moja-kwa-moja kwenye mada husika.
Mimi ni kijana (21), mjasiriamali wa kilimo na mwanafunzi (UDSM).

Kutokana na harakati zangu za kilimo cha biashara, huu mwaka umekuwa wa mafanikio sana kwangu na kwa kampuni yangu pia, hii imeniwezesha kupata media coverage kubwa hasa nilipomulikwa na CCN startup Africa, How we made it in Africa, venture africa, ALU, mkulima young, pamoja na blogs nyingi ikiwemo millard_ayo.com. Pia nimeweza kupata membership TPSF.

Media coverage hii imeniwezesha kupata connections nyingi sana, ndani na nje ya nchi. Sasa ningependa niwashirikishe hii fursa kubwa zaidi kutoka India.

Kuna mfanyabiashara mkubwa kutoka India alinitafuta kupitia twitter, tukapeana emails, then tukaanza mawasiliano. Huyu bwana anahitaji tufanye partnership katika kilimo_biashara...

Anahitaji tufanye biashara ya pigeon peas, kwanza hapo awali sikumwelewa. Nikazama google nikagundua kuwa hizo pigeon peas ni mbaazi, na kwa hapa Tz zinalimwa sana mikoa ya kusini. Hitaji la jamaa ni kwamba niwe nasupply kwake 50 metric tons kila mwezi, ambapo alidai 1 ton ni $900 kwasasa. Ijumaa last week akaniuliza kama naweza kupata 500 metric tons kabla ya xmas.

Nilipopiga hesabu zangu za haraka-haraka nikaona uwezo wangu kusupply hiyo tender ni mdogo sana, kiasi kwamba sitaweza kukidhi hitaji lake, while at the same time sitaki nimpoteze kizembe zembe. So nikamuomba huyu bwana awe mvumilivu kwanza wakati mimi natafuta plan B. Nikamwambia nitamtafuta soon nitakapoweka vitu sawa.

Pia jamaa alikuwa attracted sana kufanya kilimo hicho cha mbaazi hapa Tz, nikamweleza inawezekana sana, akaniwekea tenda mezani nimtafutie shamba la kukodi heka 100 kwa kuanzia. Kwa haraka-haraka nikamweleza mashamba ya kukodi yapo, na ni 100,000/ha, jamaa akasema nifanye hima by Nov nimpe feedback.

Naleta kwenu hii fursa ndugu zangu wa JF, tukamate hii fursa tuendeleze mapambano ya kuinua kilimo cha mkulima wa hali duni...

Hapa kwenye kupata eneo la 100 hectares Inawezekana tena eneo liko vzur pia kutokana na uwepo wa chanzo kizur cha maji kwa ajili ya umwagiliaj. Zote zpo sehem moja so tunaweza kuwasiliana...
 
Hii fursa ni nzuri sana tatizo ni kwamba sio msimu wake na requirement uliopewa ni kubwa sana. Ni pm for discussion nna option nzuri tu
 
Nashukuru mkuu Malila kwa jibu lako.

Je hekari 100 kwa ajili ya kilimo cha mbaazi zinaweza kupatikana zote kwa pamoja??

Kwa uzoefu wako, je kuna uwezekano wa kukusanya 50 tons kwa kila mwezi kutoka kwa wakulima wengine (wadogo-wadogo)

Eka mia moja unapata, changamoto ni mbegu. Kukusanya tani 50 za mbaazi sio kazi nyepesi, labda Singda
 
aisee naweza sema leo ndo umuhimu wa JF nimeuona ,naku PM mkuu tuwekane sana na inawezekana kuna data nitakupatia na zitatusaidia
 
Nilienda kijijini Lindi mwezi uliopita, nikafahamishwa kuwa watu wengi waliolima mabaazi katika msimu huu wamefanikiwa sana kuliko wale waliolima ufuta. Niliambiwa bei ya mbaazi ilipanda sana hadi kufikia shs. 4,000/= kwa kilo!
 
Safi kwa taarifa kiongozi.
Hii si fursa ya kuacha ipeperuke hivi hivi. Tujipange tuone kama tunaeza fanya chochote msimu ujao.
Kuna sehemu nimesoma, kenya zipo mbegu ambazo zinazalisha 1'500 kg kwa miezi mi3 tu.

Kwa hiyo bei waliouza msimu huu hukosi 4.5 mil per ha, happ kama una heka zako 30 tu, unafukuzia mil140. Wapi utapata hiyo pesa ndani ya miezi mi3? Hata ikulu hupati...lol
 
Mathematically bei ya huyo mhindi ni kama half price ya watu Lindi. Inabidi uwe makini sana usijecommit ndivyo sivyo mkuu!
 
Mathematically bei ya huyo mhindi ni kama half price ya watu Lindi. Inabidi uwe makin sana usijecommit ndiv sivyo mkuu!

Yap mkuu, ndio maana nikaileta mezani tuchambue kwa undani wa mambo.
Afu hiyo bei alikuja nayo muhindi ni ile asking price, bado negotiation, ndo biashara ilivyo.
 
Ok poa nikaona nikualert. By the way, naweza kumkodisha ekari 100 Nachingwea kama tikifikia mwafaka.
 
ONTARIO
Mkuu hii fursa nzuri sana hii.
Do not give up. News kukusaidia mawazo moil matte how to speed-up in collecting mbaazi uzitakazo. Lacuna pia unaweza kuwa collector from vendors.

nicheki inbox tubadilishane mawasiliano...
 
Last edited by a moderator:
Nawasalimu ndugu zangu wa JF, Habarini!

Niende moja-kwa-moja kwenye mada husika.
Mimi ni kijana (21), mjasiriamali wa kilimo na mwanafunzi (UDSM).

Kutokana na harakati zangu za kilimo cha biashara, huu mwaka umekuwa wa mafanikio sana kwangu na kwa kampuni yangu pia, hii imeniwezesha kupata media coverage kubwa hasa nilipomulikwa na CCN startup Africa, How we made it in Africa, venture africa, ALU, mkulima young, pamoja na blogs nyingi ikiwemo millard_ayo.com. Pia nimeweza kupata membership TPSF.

Media coverage hii imeniwezesha kupata connections nyingi sana, ndani na nje ya nchi. Sasa ningependa niwashirikishe hii fursa kubwa zaidi kutoka India.

Kuna mfanyabiashara mkubwa kutoka India alinitafuta kupitia twitter, tukapeana emails, then tukaanza mawasiliano. Huyu bwana anahitaji tufanye partnership katika kilimo_biashara...

Anahitaji tufanye biashara ya pigeon peas, kwanza hapo awali sikumwelewa. Nikazama google nikagundua kuwa hizo pigeon peas ni mbaazi, na kwa hapa Tz zinalimwa sana mikoa ya kusini. Hitaji la jamaa ni kwamba niwe nasupply kwake 50 metric tons kila mwezi, ambapo alidai 1 ton ni $900 kwasasa. Ijumaa last week akaniuliza kama naweza kupata 500 metric tons kabla ya xmas.

Nilipopiga hesabu zangu za haraka-haraka nikaona uwezo wangu kusupply hiyo tender ni mdogo sana, kiasi kwamba sitaweza kukidhi hitaji lake, while at the same time sitaki nimpoteze kizembe zembe. So nikamuomba huyu bwana awe mvumilivu kwanza wakati mimi natafuta plan B. Nikamwambia nitamtafuta soon nitakapoweka vitu sawa.

Pia jamaa alikuwa attracted sana kufanya kilimo hicho cha mbaazi hapa Tz, nikamweleza inawezekana sana, akaniwekea tenda mezani nimtafutie shamba la kukodi heka 100 kwa kuanzia. Kwa haraka-haraka nikamweleza mashamba ya kukodi yapo, na ni 100,000/ha, jamaa akasema nifanye hima by Nov nimpe feedback.

Naleta kwenu hii fursa ndugu zangu wa JF, tukamate hii fursa tuendeleze mapambano ya kuinua kilimo cha mkulima wa hali duni...

Malila Chasha Poultry Farm Kubota Mama Joe Watu8 mwekundu boss Sikonge Mkoroshokigoli Mzuzu Msanii n.k n.k karibuni sana.

mie shamba ninalo
karibu.
 
Mathematically bei ya huyo mhindi ni kama half price ya watu Lindi. Inabidi uwe makini sana usijecommit ndivyo sivyo mkuu!

duh kweli inabidi kuwa careful...manake kama Lindi ni Tshs 4,000 then yeye ananunua USD 0.9 /Kg manake ni kama Tshs 1,800 ...inakuwaje hapo wakuu?
 
msisahau kuna ma-giant ktk biashara ya mazao hayo kama akina METL, wao wana mawakala karibu nchi nzima na mara nyingi wanacheza na bei kwa ujanja wa hali ya juu.

Mazao kama Ufuta, mbaazi,choroko, alizeti,iriki, hawa jamaa wanayajua sana. Fanya utafiti wa bei kwa hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom