Nakupenda sana Shetani

Nakupenda sana Shetani

Nimekaa nikatafari sana baadaeeee nikaja Kujua wewe shetani una uzuri wa pekee ambao wengine hawauoni.

Hivi bila wewe utajiri wa makanisa na misikiti yangetoka wapi?

Wewe ndio umetoa ajira kwa wachungaji na mashehe na wamefaidika sana na wewe kwa kujipatia utajiri

Mungu hakutaka watu wakaishi Kwake ila kwa akili zako ulitengeza kifo ili watu warudi wakaishi alikokuwa baba yao sijui nikupe zawadi gani katika hili

Yapo mengi yakukupongeza ila ngoja niishie hapa maana kila siku upendo unaongezeka juu yako.


Pia Soma

Katika hili, namwamini Shetani - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana.. Uko very deep indeed .ni kweli shetani amenufaisha watu wengi sana ila kuna watu wanajifanya kuwa hawautambui mchango wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mwenye koneksheni na shetani aniunganishe ili nimuulize maswali mawili Matatu,dini zote zinamtupia madongo yeye halafu hakuna sehemu waliyompa nafasi ajitetee
Nalog off
Hahaha ... Hizi dini hizi ni pyramid scheme mkuu... Ujanja janja tu hamna kitu ... Shetani ni nadharia tu ... Kama alivyo kipepe au lodilofa wa kwenye gazeti La sani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio alioonesha udhaifu wa mungu muweza yote alietaka watu waishi kama mazombie.

Kama kifo ndio chanzo cha kuchukiwa mbona kifo kimeumbwa na huyo huyo wanaempenda na kumtukuza tena kawaandalia moto wapinzani wake wakati huohuo anatufundisha tuwapende adui zetu.

Siku zote nimekuwa na mashaka sana na akili zinazo mtukuza mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good and evil are the 2 aspects in the soul of every living thing, hivi unajua kwanini wanyama wananyanyasana (achana na kulana), unajua kwanini mnyama 1, let's say fisi anaiba mzoga wa mwenzake??

Kama ilivyo + & -, oksijeni & carbon dioxide ndivyo ilivyo ubaya na uovu katika viumbe hai.

Even that thing personified in the Bible as God, if you read well you will notice that God of the Bible has both GOOD and EVIL ASPECTS

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
Hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema Mungu hakudhamiria kuishi pamoja na wanadamu but devil has made that. Je, Mungu hana msimamo?
Mungu anabadilika?
Mungu hajui la kesho?
Mungu mwenyewe anaonyesha kuwa hajielewi

Maandiko yana mnadi kwamba anajua kila kitu mpaka ya kesho .. Halafu hapo hapo yanasema kwamba mungu amemuumbia binaadamu mitihani ili kumjaribu kama imani yake ipo thabiti kwake

Swali la kujiuliza Huyu mungu sianayajua ya kesho sasa inakuwaje tena ana mpima mtu imani yake tena INA maana kwamba hana uhakika kwamba imani ya mtu huyo ni ya dhati kwake .... Kama ameshindwa kujua kuwa imani ya mtu huyo ni ya dhati anawezaje kuyajua ya kesho .... ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😎Hata mimi nikuwa na mashaka makubwa sana kuhusu uwepo wa huyu kiumbe anayeitwa shetani, kwa sababu kwa maelezo ya vitabu vyote vya dini ni kuwa huyu kiumbe alikua ni Malaika mkuu aliyekuwa ameumbwa na mungu kwa ajili ya malengo yake mwenyewe mpaka siku alipomuasi muumba wake ambaye ni Mungu kwa mujibu wa hizo hadithi za kwenye vitabu;

Naomba wajuzi wa haya mambo waje hapa kilingeni kujibu hoja, bila kuleta Jazba.

Maswali.😱

1 -Ni kwanini Mungu anaendelea kumvumilia huyo kiumbe anayeitwa shetani katika harakati za kuwaangamiza viumbe wengine walioumbwa na Mungu wanaoitwa binadamu?

2 -Mungu Muumba wa binadamu na Shetani atapata faida gani kuwachoma binadamu ambao kwa maelezo ya vitabu hivyo upeo wake wa kuelewa mambo ni mdogo kuliko wa shetani aliyekua Malaika wake Mkuu?

3 -Inamaana Mungu wakati anamuumba shetani hakujua kama angeweza kumuasi?

4 -Nilini shetani alibadilika na kuwa na mapembe na mkia kama taswira ya shetani inavyoonyeshwa na wanazuoni wa dini?

5-huko kwenye hivyo vitabu kuna hadithi ya Adamu na Hawa ama Eva, na kwa mujibu wa hadithi za humo ni kuwa baada ya kula tunda walipewa adhabu na moja ya viumbe vilivyopewa adhabu ni nyoka, Ni kwanini mungu ampe nyoka adhabu wakati aliingiliwa na shetani badala ya kumpa adhabu shetani?

6 -Je Mungu anakiogopa kiumbe chake alichokiumba (Shetani) hadi anashindwa kukichukulia hatua stahiki na badala yake amempa uhuru wa kuingilia viumbe dhaifu kama nyoka na binadamu.😎
Hapo ndio utajua kuwa dini hizi ni janja janja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I love the Serpent ! Bila ya Serpent tusingekuwa duniani. In the mythical story ya Bible, kuwa tuliambjwa tusile tunda la mti which is at the centre of the garden lol . With this negative suggestion, they both ate. We opened our eyes, the good and evil were clear to us, death and life became clear to us , up and down, male and female , etc etc and the opposite worked so well.

Now, if you love life here on earth, if you enjoy this life, if you wish to live forever in this life, if you wish not to die, if you hate Death , if you enjoy to make money , if you are pleased to be here, my friend utakuwa ni mwendawazimu wa hali ya juu kumchukia shetani!

Kwanza utachukiaje kitu ambacho hukioni, hujui kikoje au kinafanana Vipi ; honestly we are very stupid and mad. Yaani kosa ufanye wewe halafu useme shetani kanipitia;

how ?

Shetani ni wewe mwenyewe; malaika ni wewe mwenyewe, you choose who you wanna be gadem!

Kama Sio shetani kushawishi watu kula tunda no one could have been on earth. Huoni Sasa hivi Una enjoy kutumia private parts zako, Sasa Kama Sio shetani ungezijua hizo; —follow your mythical bible

Acheni mambo ya ajabu eti utamsikia mtu I hate devil!!!! Hujawahi kumuona, humjui and probably hakujui, how do you hate in such scenario.

Two things are infinite in this world
1. The Universe
2. Man’s stupidity




Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaha well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo yako bado yanahitaji maelezo mengi zaidi, kumbe kabla ya shetani kuepo uovu ulikuwepo!! pia chanzo cha uovu bado hujakisema. Mungu aliumba vitu vyote bila kasoro hasa hii kasoro ilitoka wapi?

Wakati hawa malaika wanakachukua katoto shetani? Mungu alikuwa hajui kuwa baadae katagoma amri yake yakumsujudia binadamu? Na kama alijua kwanini hakuangamiza kama wale majini wengine?
Zaidi sana tueleze uovu ulianza vipi wakati mungu hakuumba.

Mfano mdogo tu tuuchukulie wa madaktari wakigundua kama una kansa kwenye kidole wanaweza shauri kidole kikatwe ili kuzuia ueneaji wa kansa. Mungu alijua shetani baadae atakataa amri yake kwanini asingefanya maamuzi mapema kama alivyofanya kwa wale majini waovu. Huoni kama hizi ni hadithi tu kama za esopo.
Hahahaha maswali mazuri hadi raha.... Eti sijui malaika wakamchukua shetani wakaenda kuishi nae peponi ..eti sijui baadae jini huyo akamkana mungu ....yaaani kama hadithi za juma na uledi ... Ujinga mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapumbavu tu wasiompenda shetani, kama mungu mwenyewe alimpenda hakumtenda vibaya baada ya kumkosea (kwa niaba yamandishi baiboz), wewe mwanadamu unamchukiaje......

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ana uwezo wa kumgeuza shetani juu chini,kulia kushoto

akam'benua akamfirigisa lakini hajafanya hivyo kamuacha makusudi

mimi ni nani hadi nimchukie huyo shetani kiasi cha kumlaani na kumpoteza?
 
Unamaanisha unampenda shetani muovu?
Mungu ana uwezo wa kumgeuza shetani juu chini,kulia kushoto

akam'benua akamfirigisa lakini hajafanya hivyo kamuacha makusudi

mimi ni nani hadi nimchukie huyo shetani kiasi cha kumlaani na kumpoteza?
 
Bado malaika wanawasujudia binadamu mpaka sasa hivi?
Wewe muongo hujasoma hivyo vitabu vyote, labda ulipitia tuu Biblia,
Qur-an hujaipitia popote pale wala hujauliza kwa wadau wa kitabu hicho,kuwa kinasemaje juu ya uasili wa Shetani.

Hebusoma Hii Quran sura ya 18:aya ya 50.
''Na pale
tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! basi Walimsjudia wote , isipo kuwa Ibilisi, kwa kuwa Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi.Basi Je! hivi Mnamfanya yeye IBILISI na kizazi chake kuwa marafiki badala yangu mimi Mungu?, hali wao (hao mabilisi) ni adui zenu? Hili Ni chaguo ovu mno na mbadala mbaya sana waliofanya kwa wenye kudhulumu. ''
NB:
Nimeongeza ufafanuzi ndani ya aya hii.

Kwa hiyo shetani hakuwa Malaika,bali ni katika Majini.
 
Mungu mwenyewe anaonyesha kuwa hajielewi

Maandiko yana mnadi kwamba anajua kila kitu mpaka ya kesho .. Halafu hapo hapo yanasema kwamba mungu amemuumbia binaadamu mitihani ili kumjaribu kama imani yake ipo thabiti kwake

Swali la kujiuliza Huyu mungu sianayajua ya kesho sasa inakuwaje tena ana mpima mtu imani yake tena INA maana kwamba hana uhakika kwamba imani ya mtu huyo ni ya dhati kwake .... Kama ameshindwa kujua kuwa imani ya mtu huyo ni ya dhati anawezaje kuyajua ya kesho .... ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Fix tu
 
Back
Top Bottom