Good and evil are the 2 aspects in the soul of every living thing, hivi unajua kwanini wanyama wananyanyasana (achana na kulana), unajua kwanini mnyama 1, let's say fisi anaiba mzoga wa mwenzake??Sasa ukisema shetani hakuna,hii hoja ya maovu inakujaje?,i umefanya ulilopendezewa na nafsi yako?amabalo kwako umeliona zuri tuu
Hakuna mtu aliyewahi kumuona shetani lakini pia kumbuka hakuna mtu aliyewahi kumuona Mungu. Tafakali chukua hatua.
kawaulize majini walioumbwa kwa moto watakuambia
Shetani ndio nyota wa mchezoNyie watoto ndo mnaanza kuelewa kiduchu na hapo mnabweteka tu ila ukweli wa mambo mtaujua kadiri mnavyozidi kukua. Kuwa mwangalifu kwani kuna yatakayokukuta siku si nyingi na uhusiano wako na shetani utakuwa mkubwa na matokeo yake utayaona baadaye na utalaani kwanini hakukuwa na mtu wa kukuelewesha.
Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaaGood and evil are the 2 aspects in the soul of every living thing, hivi unajua kwanini wanyama wananyanyasana (achana na kulana), unajua kwanini mnyama 1, let's say fisi anaiba mzoga wa mwenzake??
Kama ilivyo + & -, oksijeni & carbon dioxide ndivyo ilivyo ubaya na uovu katika viumbe hai.
Even that thing personified in the Bible as God, if you read well you will notice that God of the Bible has both GOOD and EVIL ASPECTS
Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa









Nimekaa nikatafari sana baadaeeee nikaja Kujua wewe shetani una uzuri wa pekee ambao wengine hawauoni.
Hivi bila wewe utajiri wa makanisa na misikiti yangetoka wapi?
Wewe ndio umetoa ajira kwa wachungaji na mashehe na wamefaidika sana na wewe kwa kujipatia utajiri
Mungu hakutaka watu wakaishi Kwake ila kwa akili zako ulitengeza kifo ili watu warudi wakaishi alikokuwa baba yao sijui nikupe zawadi gani katika hili
Yapo mengi yakukupongeza ila ngoja niishie hapa maana kila siku upendo unaongezeka juu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeenda mbele sana.
Umewaza nje ya box. Lakini siyo kwamba nakuunga mkono bali umenipa tafakuri pana zaidi kuhusu uwezo wa akili na fananizi kiimani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha unajua hii sikuweza kuinyaka kabisa mpaka pale nilipokumbuka sauti ya dj afro