EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,189
- 20,636
Uwe mwanamke au mwanaume haijalishi,Kwakuwa umempenda bwana shetani mwambie akajitambulishe kwenu,taratibu nyingine zifuatwe muwe mke na mume
Unatuambia kosa la shetani ni kutomsujudia Adam???. Tupe mwanzo wa shetani?? Na mwanzo wa uovu???Wewe muongo hujasoma hivyo vitabu vyote, labda ulipitia tuu Biblia,
Qur-an hujaipitia popote pale wala hujauliza kwa wadau wa kitabu hicho,kuwa kinasemaje juu ya uasili wa Shetani.
Hebusoma Hii Quran sura ya 18:aya ya 50.
''Na pale tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! basi Walimsjudia wote , isipo kuwa Ibilisi, kwa kuwa Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi.Basi Je! hivi Mnamfanya yeye IBILISI na kizazi chake kuwa marafiki badala yangu mimi Mungu?, hali wao (hao mabilisi) ni adui zenu? Hili Ni chaguo ovu mno na mbadala mbaya sana waliofanya kwa wenye kudhulumu. ''
NB:
Nimeongeza ufafanuzi ndani ya aya hii.
Kwa hiyo shetani hakuwa Malaika,bali ni katika Majini.
Sadaka wanazochukua watumishi wa Mungu ni kwa ajili ya masikini, si kwa kujitajirisha wao,Wewe ndio umetoa ajira kwa wachungaji na mashehe na wamefaidika sana na wewe kwa kujipatia utajiri
Haya sasa pokea darasa hili kwa umakini.Unatuambia kosa la shetani ni kutomsujudia Adam???. Tupe mwanzo wa shetani?? Na mwanzo wa uovu???
Nimekaa nikatafari sana baadaeeee nikaja Kujua wewe shetani una uzuri wa pekee ambao wengine hawauoni.
Hivi bila wewe utajiri wa makanisa na misikiti yangetoka wapi?
Wewe ndio umetoa ajira kwa wachungaji na mashehe na wamefaidika sana na wewe kwa kujipatia utajiri
Mungu hakutaka watu wakaishi Kwake ila kwa akili zako ulitengeza kifo ili watu warudi wakaishi alikokuwa baba yao sijui nikupe zawadi gani katika hili
Yapo mengi yakukupongeza ila ngoja niishie hapa maana kila siku upendo unaongezeka juu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
! Bila ya Serpent tusingekuwa duniani. In the mythical story ya Bible, kuwa tuliambjwa tusile tunda la mti which is at the centre of the garden lol
. With this negative suggestion, they both ate. We opened our eyes, the good and evil were clear to us, death and life became clear to us , up and down, male and female , etc etc and the opposite worked so well. mkuu usimfuananishe licifer na vitu vya kijingaa (majin) lucifer sio jin ni malaika bora kuliko wote labda kama mungu aliumba mwingineHaya sasa pokea darasa hili kwa umakini.
Mwenyezimungu aliumba viumbe wote katika ardhi isipokuwa binadamu, yeye alikuwa wa mwisho kuumbwa ,na kwa hiyo kupewa majukumu.
Lakini kabla ya kuletwa binadamu ,palikuwepo kiumbe mwingine aliyekuwa na majukumu ya kuisimamia dunia kabla ya mwana damu kuumbwa.
Viumbe hao waliitwa Majini,wao waliishi muda Mungu aliotaka kuishi na kupewa miongozo mbali mbali ya maisha, lakini hatimae walifanya ufisadi mkubwa na kuanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe kila aina ya uovu.Walimkasirisha sana Mungu, na Mungu akaamua kuwaangamiza wote isipokuwa kitoto kimoja cha jini kilibakizwa , na Malaika wakakichukua Mbinguni na wakaishi pamoja nacho kule katika hali ya utakatifu mkubwa .
Miaka mingi ika pita na Mungu akaamua kuleta kiumbe kingine kuchukua nafasi ya Majini hapa Duniani.
Kiumbe huyo alikua babu yetu Adam na mkewe Hawa(Eva ).
Maumbile yao yalifanywa kwa Udongo na Mungu akawapulizia Roho na wakawa na Uhai.
Mungu alipopendezwa na kazi yake akawaamuru Malaika wakipe heshima kiumbe kile kwa kukisujudia ili kutukuza kazi ya Mungu, na pia kuonesha ubora wa huyo kiumbe na utukufu alio pewa mbele ya viumbe wengine, kwa kuwa huyu ndio atakuwa mtawala wa dunia sasa.
Kumbuka ndani ya Adamu ndio watazaliwa Manabii watukufu na Mitume kama Noa, Ibrahim, Mussa,Yesu na Muhammad ambao hao wote watakuwa ni watakatifu wake Mungu wtakaokuja duniani huko baadae.
Malaika wote walisujudu na kuonesha unyenyekevu mkubwa kwa Adam lakini Yule mtoto wa Kijini ambaye aliishi pamoja nao aligoma, na kukaidi amri ya Mungu.
Mungu akamuuliza ,ni kwa nini umekaidi, akajibu ''mimi ni kiumbe bora kuliko yeye huyu,umeniumba kwa muale wa moto ,wakati yeye umemuumba kwa udongo'' tunaoukanya.
Hapo Mungu akamuambia nitokee hapa ,umelaanika kuanzia leo,Hivi wewe ndio unajua kipi bora kuliko mimi nilie umba?
unakaidije amri ya aliyekuumba,unajuaje kuwa wewe ni mkuu kiasi hicho.
Hapo shetani kwa kiburi chake alionesha ukaidi na kumwambia Mungu,kuanzia leo nakuahidi Huyu kiumbe mpya uliye muumba nitamuandama yeye na watoto wake ili nikuthibitishie kuwa ni dhaifu kuliko mimi.
Mungu akamwambia ,nitokee hapa umedhalilika na ume dogoshwa mbele yangu, wewe na watakaokufuata wote nitawaadhibu kwa moto wa JEHANNAM.
Hapo Yule Jini akabadiklishwa jina na kuitwa IBILISI yaa Mpotezaji, MUASI
Unajua nini nini kilimfanya Ibilisi achukie kumsujudia ADAM?
Ilikuw ni JEALOUS kwa nini wasirudishwe majini kuwa wakaazi wa Duniani ,badala yake wakaletwa viumbe wapya?
Hivyo alitamani awe yeye ndio nafasi ya Binadamu ,lakini alisahau kuwa haya ni maamuzi ya Muumba mwenyewe, si chaguo lake ADAM.
Kuanzia hapo mikakati yake Ibilisi ilianza ya kumfitinisha ADAM na Muumba wake, na alitumia lugha ya ulaghai na kumuahidi ahadi za uongo mpaka ADAM akavunja mashariti aliyopewa na Mungu, hivyo naye adam akawa makosani, lakini babu yetu huyu mara tuu alipobaini kuwa amekosea,alimgeukia Mungu na Kumtaka Msamaha. Tofauti na IBILISI yeye alipokosea alingeza kiburi
Hii ndio tofauti kati ya BINADAMU NA MAJINI WAOVU. ibilisi alipokosea hakuomba msamha,bali alizidi kiburi
Ndo maana Binadamu alie na kiburi hata kama anakosea huitwa shetani au Ibilisi kwa kuwa hizo ndizo sifa za shetani
Niishie hapo kwa leo.
NB
Mimi Ni Muislamuamu, nimetowa andiko hili kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu.
Nawakilisha kwa ihsani ya Jf
matokeo baada ya kusoma cosmology hayaI love the Serpent! Bila ya Serpent tusingekuwa duniani. In the mythical story ya Bible, kuwa tuliambjwa tusile tunda la mti which is at the centre of the garden lol
. With this negative suggestion, they both ate. We opened our eyes, the good and evil were clear to us, death and life became clear to us , up and down, male and female , etc etc and the opposite worked so well.
Now, if you love life here on earth, if you enjoy this life, if you wish to live forever in this life, if you wish not to die, if you hate Death , if you enjoy to make money , if you are pleased to be here, my friend utakuwa ni mwendawazimu wa hali ya juu kumchukia shetani!
Kwanza utachukiaje kitu ambacho hukioni, hujui kikoje au kinafanana Vipi ; honestly we are very stupid and mad. Yaani kosa ufanye wewe halafu useme shetani kanipitia;
how ?
Shetani ni wewe mwenyewe; malaika ni wewe mwenyewe, you choose who you wanna be gadem!
Kama Sio shetani kushawishi watu kula tunda no one could have been on earth. Huoni Sasa hivi Una enjoy kutumia private parts zako, Sasa Kama Sio shetani ungezijua hizo; —follow your mythical bible
Acheni mambo ya ajabu eti utamsikia mtu I hate devil!!!! Hujawahi kumuona, humjui and probably hakujui, how do you hate in such scenario.
Two things are infinite in this world
1. The Universe
2. Man’s stupidity
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi nimeandika kwa mujibu wa Uislamu,mkuu usimfuananishe licifer na vitu vya kijingaa (majin) lucifer sio jin ni malaika bora kuliko wote labda kama mungu aliumba mwingine
kwenye kuruani huko hakuna watu wanaotwa wanafeli( mijitu mikibwaa)?Mimi nimeandika kwa mujibu wa Uislamu,
Huku hatunaga Lucifa ambaye ni malaika, Sorry
Huku Mungu aliumba
1.Malaika kwa Nuru.
2.Majini kwa Mwale wa MOTO.
3.Adamu Kwa Udongo ,na sisi watoto wa Adam kwa Manii (mbegu za Uzazi)
NB;
Malaika huwapingi amri ya Mungu kamwe,bali wao hutii kila wanaloambiwa.
Binadamu na Majini wao ni wadadisi na wapinzani pindi anapopewa amri na Mungu.
wawili hawa husaidiana katika ubaya wao dhidi ya amri za Mungu.
Binadamu hana uwezo wa kumuona Jinni wala Malaika kwa macho.
Bali Majini na Malaika wana uwezo wa kujibadili maumbile yao ya asili na kuchukua maumbile ya viumbe wengine.
Kama vile Nyoka, Punda, Nge, Mbwa,Nguruwe nk. kwa Majini
Na Malaika huweza kujibadili kuwa Njiwa, Binadamu Mtanashati.nk.
Viumbe hawa kwa maumbile yao ya asili sisi kama binadamu hatuwezi kuyahimili na si rahisi kuwaona kwa macho.
Mkuu umeenda mbele sana.
Umewaza nje ya box. Lakini siyo kwamba nakuunga mkono bali umenipa tafakuri pana zaidi kuhusu uwezo wa akili na fananizi kiimani
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yako bado yanahitaji maelezo mengi zaidi, kumbe kabla ya shetani kuepo uovu ulikuwepo!! pia chanzo cha uovu bado hujakisema. Mungu aliumba vitu vyote bila kasoro hasa hii kasoro ilitoka wapi?Haya sasa pokea darasa hili kwa umakini.
Mwenyezimungu aliumba viumbe wote katika ardhi isipokuwa binadamu, yeye alikuwa wa mwisho kuumbwa ,na kwa hiyo kupewa majukumu.
Lakini kabla ya kuletwa binadamu ,palikuwepo kiumbe mwingine aliyekuwa na majukumu ya kuisimamia dunia kabla ya mwana damu kuumbwa.
Viumbe hao waliitwa Majini,wao waliishi muda Mungu aliotaka kuishi na kupewa miongozo mbali mbali ya maisha, lakini hatimae walifanya ufisadi mkubwa na kuanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe kila aina ya uovu.Walimkasirisha sana Mungu, na Mungu akaamua kuwaangamiza wote isipokuwa kitoto kimoja cha jini kilibakizwa , na Malaika wakakichukua Mbinguni na wakaishi pamoja nacho kule katika hali ya utakatifu mkubwa .
Miaka mingi ika pita na Mungu akaamua kuleta kiumbe kingine kuchukua nafasi ya Majini hapa Duniani.
Kiumbe huyo alikua babu yetu Adam na mkewe Hawa(Eva ).
Maumbile yao yalifanywa kwa Udongo na Mungu akawapulizia Roho na wakawa na Uhai.
Mungu alipopendezwa na kazi yake akawaamuru Malaika wakipe heshima kiumbe kile kwa kukisujudia ili kutukuza kazi ya Mungu, na pia kuonesha ubora wa huyo kiumbe na utukufu alio pewa mbele ya viumbe wengine, kwa kuwa huyu ndio atakuwa mtawala wa dunia sasa.
Kumbuka ndani ya Adamu ndio watazaliwa Manabii watukufu na Mitume kama Noa, Ibrahim, Mussa,Yesu na Muhammad ambao hao wote watakuwa ni watakatifu wake Mungu wtakaokuja duniani huko baadae.
Malaika wote walisujudu na kuonesha unyenyekevu mkubwa kwa Adam lakini Yule mtoto wa Kijini ambaye aliishi pamoja nao aligoma, na kukaidi amri ya Mungu.
Mungu akamuuliza ,ni kwa nini umekaidi, akajibu ''mimi ni kiumbe bora kuliko yeye huyu,umeniumba kwa muale wa moto ,wakati yeye umemuumba kwa udongo'' tunaoukanya.
Hapo Mungu akamuambia nitokee hapa ,umelaanika kuanzia leo,Hivi wewe ndio unajua kipi bora kuliko mimi nilie umba?
unakaidije amri ya aliyekuumba,unajuaje kuwa wewe ni mkuu kiasi hicho.
Hapo shetani kwa kiburi chake alionesha ukaidi na kumwambia Mungu,kuanzia leo nakuahidi Huyu kiumbe mpya uliye muumba nitamuandama yeye na watoto wake ili nikuthibitishie kuwa ni dhaifu kuliko mimi.
Mungu akamwambia ,nitokee hapa umedhalilika na ume dogoshwa mbele yangu, wewe na watakaokufuata wote nitawaadhibu kwa moto wa JEHANNAM.
Hapo Yule Jini akabadiklishwa jina na kuitwa IBILISI yaa Mpotezaji, MUASI
Unajua nini nini kilimfanya Ibilisi achukie kumsujudia ADAM?
Ilikuw ni JEALOUS kwa nini wasirudishwe majini kuwa wakaazi wa Duniani ,badala yake wakaletwa viumbe wapya?
Hivyo alitamani awe yeye ndio nafasi ya Binadamu ,lakini alisahau kuwa haya ni maamuzi ya Muumba mwenyewe, si chaguo lake ADAM.
Kuanzia hapo mikakati yake Ibilisi ilianza ya kumfitinisha ADAM na Muumba wake, na alitumia lugha ya ulaghai na kumuahidi ahadi za uongo mpaka ADAM akavunja mashariti aliyopewa na Mungu, hivyo naye adam akawa makosani, lakini babu yetu huyu mara tuu alipobaini kuwa amekosea,alimgeukia Mungu na Kumtaka Msamaha. Tofauti na IBILISI yeye alipokosea alingeza kiburi
Hii ndio tofauti kati ya BINADAMU NA MAJINI WAOVU. ibilisi alipokosea hakuomba msamha,bali alizidi kiburi
Ndo maana Binadamu alie na kiburi hata kama anakosea huitwa shetani au Ibilisi kwa kuwa hizo ndizo sifa za shetani
Niishie hapo kwa leo.
NB
Mimi Ni Muislamuamu, nimetowa andiko hili kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu.
Nawakilisha kwa ihsani ya Jf
Shetani hakutengeneza kifo kila jambo lililetwa na MunguNimekaa nikatafari sana baadaeeee nikaja Kujua wewe shetani una uzuri wa pekee ambao wengine hawauoni.
Hivi bila wewe utajiri wa makanisa na misikiti yangetoka wapi?
Wewe ndio umetoa ajira kwa wachungaji na mashehe na wamefaidika sana na wewe kwa kujipatia utajiri
Mungu hakutaka watu wakaishi Kwake ila kwa akili zako ulitengeza kifo ili watu warudi wakaishi alikokuwa baba yao sijui nikupe zawadi gani katika hili
Yapo mengi yakukupongeza ila ngoja niishie hapa maana kila siku upendo unaongezeka juu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa maana hata huyo mungu Ana makosa mengi anatukeletea magonjwa kama haya ya corona na majanga kama mafuriko