Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

ha haaaa, lol!
babu Dark City njoo usikilize haya maneno...
eti mwenzangu una habari na huu uvumi wa mjini?
huyu lazima ni snowhite akisaidiana na mwanafunzi wake Kaizer ndo wanavumisha

Nawashangaa hawa watoto kwa kweli...

Umeuteka moyo wa Babu Dark City kwa nini?

Hivi leo hiyo bange kakupa nani aisee??

Kama nampenda nitamjibu Nakupenda pia, kama simpendi, ahsante ndo jibu muafaka, kama simpendi kabisaaa nampa makavu bhana mi Sikupendi

sasa mbona unaharibu ram,

Nakupenda haiwezi kujibiwa kinyume na ulivyosema toka mwanzo...

Unamwogopa nani kwani?

Ona haya maneno ndo utajua tunaongelea nini

Zombie kazi anayo....

What? Sredin? Bora ingekuwa PM FP na Dark City

Hivi hakunaga antidot ya bange??

Tunaelekea kupoteza watu soon...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
heheh kaugomvi kako katamu lakini.
Naona dada mkubwa na sintofahamu zake while anachekelea.

Babu DC nae yumo kweli, eti akajidai nakupenda I love you . . . heheh alafu akaact ni comment!

Umekuwaje tena na wewe Kipipi hadi unaunga tela na wataalamu wa bange??

Au umekatiwamo 10%??

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha
hii nime mnukuu rafiki yangu alimwambia msichana tena ni mara ya kwanza kukutana nae akamwambia anampenda msichana akasema asante sana jamaa akasema alishindwa aendelee vipi maana alishindwa kumuelewa kwa hiyo nilivyo ona hii mada nikakumbuka!

Hata wewe?
 
Simply put, ....ni roho mbaya tu...

Halafu sasa wenyewe wakikutaka ukashindwa kustukia....wanalaani hadi ardhi inakaribia kumeguka vipande vipande...

Bahati nzuri, wanaume hawafanyagi roho mbaya...lol!!

Babu DC!!
 
Kweli Babu Dark City kwa wao wakimwambia mwanaume anampenda alaf mwanaume aseme asante kwa kweli wanachukulia ni ukatili tena huwa wanatamani ardhi hipasuke

Ndo walivyo hawa wadau wetu,

Naona wametimkia kwenye kugombelezea....DaSophy kawatibu kweli kweli...

Babu DC!!
 
you are so rude!
Ila nimecheka sana

Am I?

Kitu gani cha tofauti au cha ajabu nimefanya??

Hebu kwanza nirudie hapo chini....

Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.

Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'

wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?

Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%

hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.

(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)

Babu DC!!
 
Hahahahahahahahahha
da sophy kakimbia na jogoo wa mtu ana tafutwa!

Ndo walivyo hawa wadau wetu,

Naona wametimkia kwenye kugombelezea....DaSophy kawatibu kweli kweli...

Babu DC!!
 
tangu FP akuteke umekuwa rude sana kwangu.

Naumia ujue?
konnie unataka niapply yaloe maujuzi ya kwa Da Sophy hapa au!
tatizo ulichemsha kwenye mbinu tumbukizi!dadangu kaja kafunga goli kilaiiini babu siku hizi yupo tu!
ah!
aahhahahha

Mjukuu DC imagine mpka ananiruhusu nitumie hii sahihi!kweli dadangu mimi chiboko!
 
Last edited by a moderator:
babu ni ukorofi tu
alikuwa ananielewa sana

konnie unataka niapply yaloe maujuzi ya kwa Da Sophy hapa au!
tatizo ulichemsha kwenye mbinu tumbukizi!dadangu kaja kafunga goli kilaiiini babu siku hizi yupo tu!
ah!
aahhahahha

Mjukuu DC imagine mpka ananiruhusu nitumie hii sahihi!kweli dadangu mimi chiboko!
 
Last edited by a moderator:
Ndo walivyo hawa wadau wetu,

Naona wametimkia kwenye kugombelezea....DaSophy kawatibu kweli kweli...

Babu DC!!
ahahahhahhha da sophy amtibu nani babu!
aso na mbele wala nyuma
sura imparame kama gogo la buchani
miguu iwe kama fito za kichanja amtibu naaaaani babu!naaaani!
kakimbia mwenywe!we kamtafyte kula kwenye uzi wake kama yupo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom