Kwani hapo katongozamchana umesema unaona haya kutongoza kwahiyo ulikua unatuchora
Kumbe umeachiwa mkuu, Naskia ulikuwa unatembeza viboko kwa wakosefu wa nidhamu mpaka wakakuchomaHuwa naangalia tu! 😎
Dah! Nilikuwa natembeza viboko balaa. Wakanipiga ban kwa madai kuwa nimezidisha adhabu kidogo.Kumbe umeachiwa mkuu, Naskia ulikuwa unatembeza viboko kwa wakosefu wa nidhamu mpaka wakakuchoma
Yaani kweli kwa mwanamke mapenzi bila pesa ni sifuri.Mtumie na pesa isiwe tu maneno
So you want to tell us such kind of people are attention seekers?
Mapenzi yatakuwa yanaendeshwa kwa Hela ya nani sasaYaani kweli kwa mwanamke mapenzi bila pesa ni sifuri.
Mapenzi ni ya kijamaa, "chako chetu, changu chetu". iLA tukija upande wenu wavaa skintight sasa, mambo ni " Hapendwi mtu, inapendwa pochi nene...." tena ikikauka mnakata umeme. 😂😂Mapenzi yatakuwa yanaendeshwa kwa Hela ya nani sasa