Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
babu kaa chini unywe maji yakolee...
achana kabisa na hawa wajukuu...
mimi niliamua tu kuwasikilizisha walichokitaka, wala sina sababu ya kumkosea heshima babu na mkubwa mwenzangu....
sisi tulishastaafu haya makitu, kila mtu analijua hilo....
Msalimu sana bibi
cc. Kongosho, snowhite, Kaizer, Paloma,
babuuuuuuuuu........................
FP kimeeleweka?
Last edited by a moderator: