Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

Weee, tena usinitanie

Uzuri kunamashahidi wawili, tumeshasainishana

Kuanzia leo nataka nianze kuwaambia wajukuu wako waniite bibi mdogo :tape2:

Nimewezeshwa nikaweza lol

Mkataba huo uko wapi Kongosho?

Mie nautambua mmoja tu katika dunia hii....

Kama unataka kuleta mchezo wa kughushi basi pole sana...lol!!


Babu DC??
 
Kumbe Babu Dark City unanipumbaza? Tangu jana umem-zombie @FP

Najinyonga kwa kweli

:A S cry::crying::crying:

ahahahhahaahhahahha huyu mkolini wangu huyu ananikosesha mengi mie yailahi!
lol! BAK japokuwa wewe unaninyima updates za dada kubwa ,kamatia hiyo! Kaizer ahahahhahahhahah hatukukosa usingizi bure jana bana!
kitu KABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANG! Jiwe Linaloishi nilikwambia mapema uliza maswali ya msingi we ukawa unambwera mbwera tuuu!
haya sasa!
ebaana mwanafunzi wangu enh leo si hamna mpira ,jana uligelezea sana hebu njoo ufanye mek up assignment hakuna kazi hapa tena!itoke wapi sasa!
 
Last edited by a moderator:
Nakupenda pia!

Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.

Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'

wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?

Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%

hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.

(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom