Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

inategemea unayemjibu yani mkeo/mumeo akwambie nakupenda umjibu ahsante, lol kwahiy unakuwa humpendi au? kamamtu tu hauna uhusiano naye wowote au ndo anataka mahusiano sawa unatakiwa jibu vile unavyojisikia moyoni, lakini kwa kesi ya mume na mke hapo labda unambie kuwa upendo umepoa haupo tena
 
Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.

Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'

wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?
Inatakiwa kujibu,
Oh! Real? How? How can i trust you!
Baada ya hapo, stay tuned upate ma-sound ya ukweli! UKishasema, Ahsante; arrgh, unakata stimu aisee, manake ndo unakuwa ushaleta upendo wa kwenye Biblia!!
 
Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%

hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.

(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)

Kwa upande wangu, naona neno 'asante' ni zuri kwa sababu halionyeshi moja kwa moja kama umefurahi kuambiwa hivyo au laa! Ukisema 'nakupenda pia' hilo liko +ve sana na kama unamwambia mtu ambaye yeye anakupenda wakati wewe haumpendi, inaweza kukuletea shida baadaye maana mtafutaji ataanza kuona 'future' kwako wakati wewe haukumaanisha.

Nafikiri ni vyema kusimama kwenye ukweli kwa kusema 'Asante' kuliko kuwa +ve na mtu huku moyoni haukubaliani naye. Huu ni kama usanii kwa kiasi fulani. Mimi huamini ktk kweli maana mara nyingi huniweka huru sana.
 
Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.

Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'

wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?

Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%

hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.

(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)

Hivi kuna watu bado wanatumia hizo swagga hapa mjini? Mimi nampenda mke wangu tu wengine wote nawatamani tu!!
 
Last edited by a moderator:
inategemea unayemjibu yani mkeo/mumeo akwambie nakupenda umjibu ahsante, lol kwahiy unakuwa humpendi au? kamamtu tu hauna uhusiano naye wowote au ndo anataka mahusiano sawa unatakiwa jibu vile unavyojisikia moyoni, lakini kwa kesi ya mume na mke hapo labda unambie kuwa upendo umepoa haupo tena
hivi upendo ukipoa hali inakuwaje?
 
kwa hiyo mme na mke lazima umjibu 'nakupenda' hata kama kwa wakati huo hujisikii hivyo?

Umjibu tu kwa PR reasons?

Je kwa mtu anayenyemelea mahusiano ni fair kusema asante?

inategemea unayemjibu yani mkeo/mumeo akwambie nakupenda umjibu ahsante, lol kwahiy unakuwa humpendi au? kamamtu tu hauna uhusiano naye wowote au ndo anataka mahusiano sawa unatakiwa jibu vile unavyojisikia moyoni, lakini kwa kesi ya mume na mke hapo labda unambie kuwa upendo umepoa haupo tena
 
Ebu fafanua Mkuu, makitu gani hakuna Afrika na kwanini hakuna? Je hao weupe wamepotoka na huo utamaduni wao au wako sahihi? Je, kama ni utamaduni mzuri ni mbaya kuiga? Je, si bora kuiga hiyo kuliko kata K na yafananayo na hayo? PJ wewe ni mwaminifu najua utanijibu tu
African way hatuna hiyo makitu!
Ni kujaribu kutafsiri tamaduni za weupe!
 
ha ha ha, hujatulia.

Uulize how afu aanze kujielezea kumbe ww una upendo wa baibo?

Inatakiwa kujibu,
Oh! Real? How? How can i trust you!
Baada ya hapo, stay tuned upate ma-sound ya ukweli! UKishasema, Ahsante; arrgh, unakata stimu aisee, manake ndo unakuwa ushaleta upendo wa kwenye Biblia!!
 
labda ninabidili neno, unakuwa humpendi vile atakavyo ya kibaba na mama.

Sasa hutaki kuonesha umedharau hisia zake ama hujali, simply unataka ajue hauko ukurasa mmoja na yeye.

What do u mean by 'humpendi'?
Kutokuwa na feelings na mtu maana yake humpend?
Asante ikiongezewa maneno 'urudeness' unaweza usionekane.
 
mmh, kazi ni kupata anayekupenda na wewe ukampenda.

Hawa one way love ni wengi mno.

Fungua kabati lako tu utaona maskeleton yalivyo mengi, hata yule ya kibololoni umemsahau?

Asante ni kwamba unashukuru kwa upendo wake kwake
ila kwa upande mwingine wewe humpendi
so huna cha kumpa zaidi ya shukrani, ujue kupata mtu anaekupenda kazi sana
 
duu kumbe upendo kwa mkeo huja kwa instalment hii kali, hao wanyemeleaji unamjibu kile unachojisikia hasaa, tena ahsante umempendelea
kwa hiyo mme na mke lazima umjibu 'nakupenda' hata kama kwa wakati huo hujisikii hivyo?

Umjibu tu kwa PR reasons?

Je kwa mtu anayenyemelea mahusiano ni fair kusema asante?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom