Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

Warn her, tena warn her kabisa.
Otherwise I smell blood

My help,

Kale kwanza ili upate glucose ya kutosha kichwani...

You are getting towards a dead end tunnel....

Babu DC!!
 
Warn her, tena warn her kabisa.
Otherwise I smell blood


Ngoja nikatafute kamba ya kufungia watoto wakorofi.....

Babu hataki matatizo....

Mtamtesa bibi yenu kuja kuanza mambo ya kuuguza sasa hivi....

Tunataka amani na upendo ....

Babu DC!!
 
Hayo mengine ya ziada, nshapata nlichotaka

Mbona najua nao wanakupenda tu!

Why hate you wakati hujawafanyia baya lolote??

Ndiyo maana hata mie nakupenda kama wajukuu zangu wengine wote...lol!!


Babu DC!!
 
Tena walikuwa wanasafiri kabisa

Kule kwetu walikuwa wanasafiri kwenda malishoni mbali, wanakaa hata miezi
Ila siku wakirudi, ile wanaondoka tu mzazi wa kike anaanza kula ndimu, jamani

Tena wanapenda hadi wanakuwa kama vichaa au misukule....

Muulize Kongosho na zombie wake...

Unadhani wale wababu waliokuwa wanasafiri hadi 30km kutafuta nyama, samaki, kuku (mitetea yenye manyoya kama shanga shingoni), matenga ya matunda, mikaa n.k hawakuwa wanawapenda wake zao kweli??


Babu DC!!
 
ndiyo maana nikasema mahali kuwa wengine hilo na maneno mengine ya kuazima kama mfano I miss you, darling, bebi, honey...tulishamalizana nayo siku nyingi...

Siku hizi tunaitana majina yetu, na kama mtu ana lake jambo basi analembua sauti....mambo finito!!

Babu DC!!


hahaha, mie akiniskia tu namwambia" niambie msukuma wangu", hahaha ananitolea we niambie tu unachotaka kusema, vingenevyo ni full jina lake hakuna cha baba chanja au baba kongosho hapa.
 
upendo.jpgnew commandment is love
 
hahaha, mie akiniskia tu namwambia" niambie msukuma wangu", hahaha ananitolea we niambie tu unachotaka kusema, vingenevyo ni full jina lake hakuna cha baba chanja au baba kongosho hapa.

Msukuma anafaudu kwelikweli
 
Asante ni kwamba unashukuru kwa upendo wake kwake
ila kwa upande mwingine wewe humpendi
so huna cha kumpa zaidi ya shukrani, ujue kupata mtu anaekupenda kazi sana

dada mambo! Mising u
 
Tena wanapenda hadi wanakuwa kama vichaa au misukule....

Muulize Kongosho na zombie wake...

Unadhani wale wababu waliokuwa wanasafiri hadi 30km kutafuta nyama, samaki, kuku (mitetea yenye manyoya kama shanga shingoni), matenga ya matunda, mikaa n.k hawakuwa wanawapenda wake zao kweli??


Babu DC!!

Asa, kwa nini tuogope kusema nakupenda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom