Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

Last edited by a moderator:
ahahahhahaahhahahha huyu mkolini wangu huyu ananikosesha mengi mie yailahi!
lol! BAK japokuwa wewe unaninyima updates za dada kubwa ,kamatia hiyo! Kaizer ahahahhahahhahah hatukukosa usingizi bure jana bana!
kitu KABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANG! Jiwe Linaloishi nilikwambia mapema uliza maswali ya msingi we ukawa unambwera mbwera tuuu!
haya sasa!
ebaana mwanafunzi wangu enh leo si hamna mpira ,jana uligelezea sana hebu njoo ufanye mek up assignment hakuna kazi hapa tena!itoke wapi sasa!

mbona niliuliza kupitia Pm mkanichunia...?? hadharani yalikuwa hayakubali
 
nilishamwambia babu
sitamzarau aliyepo, mie najua kula na kipofu bwana
ya nini nimshike mkono?

ahahahahhahhahhaha sasa huogopi!
yani kule kwa da sophy sijui dongo lilikuwa la nani!sasa hapa dadangu mwenywe ndo ahujumiwe ndo nikuache!oh
 
wee bana

sitamdhuru dada yako bana.
Simchukii dadako, ni kwamba tu kagusa napopataka.

Sina ugomvi naye, mie ntajilia mchana, yeye usiku kucha na wwekends zote.

ahahahahhahhahhaha sasa huogopi!
yani kule kwa da sophy sijui dongo lilikuwa la nani!sasa hapa dadangu mwenywe ndo ahujumiwe ndo nikuache!oh
 
wapo wengi, ntakupa list

ujue simna mwenda pole ndio mla vinono.


enheeee...

1...............................
2...............................
3...............................


CC snowhite
 
Last edited by a moderator:
chezeya binti wa kingoni weye!
Kaizerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr Kipipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Jiwe Linaloishiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kongoshooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo Palomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kidogo nijiiite na mi mwneywe!lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom