chezeya binti wa kingoni weye!
mstaafu kilikuwa kivuli tu
eti bibi pekee? Mie nilikuwa namtizama tu
ngoja nipumzike maana naona pumzi inakwisha.
na kila mtu aseme ameeen!kabisa.....mi nshajisemea zangu....mtu yeyote atakaye kuiponya nafsi yake kwa binti wa kingoni hakika ataiangamiza.....usengwile @fp
AHAHHAHHAHAH AF MI NDO MANA MAMA K SIMPENDAGI!ALIFANYA NIKAWA NAKULA SANA MBOGA ZA MAJANI!naona mpka visivyo size yangu! Kaizer na we umeonamo?haya jamani mimi nimeamua kukaa kimya (natamani kusema najilia vyangu kimya kimya lakini siyo kweli, lol!)
endeleeni kuniandama na huyo babu ambaye hata akiona tabasamu langu moyo haumdundi.... kwa jinsi alivyostaafu, lol!
cc. Kongosho, snowhite, Kaizer, Paloma, na mtu mzima mwenzangu tunayeelewana sana Dark City