Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
Ushindi wa nini kwani?
Kulikuwa na mashindano hapa?
Naona sasa nyie watoto mnataka kushika sharubu za simba.....
Kwendeni zenu huko.....
Ngoja nimwite Bibi tukaangalie jinsi Real Madrid watakavyotesa wapiga jelele wa mji wa Manchester..lol
Babu DC!!