Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

Ona haya maneno ndo utajua tunaongelea nini
Hivi hilo neno lina matatizo gani mtu akikwambia wakati kweli anakupenda kama dada/kaka au babu/bibi??

Kwa hiyo ni kosa nikisema, "nakupenda (I love you) mkubwa mwenzangu @FP"..???

Nahisi nimekwama mahali...lol!!

Babu DC!!


nyie mnasemaje hapa? mbona jina langu halikauki vidoleni kwenu?
 
Atakubamiza, si unajua wanamme wa kitanzania hawa, tena ukute uko Sangabuye?

Kama nampenda nitamjibu Nakupenda pia, kama simpendi, ahsante ndo jibu muafaka, kama simpendi kabisaaa nampa makavu bhana mi Sikupendi
 
Ndio, nimekaa sana pale shule ya msingi Sangabuye

Atajijua, hawezi kunibamiza, simpendi na hawezi kulazimisha nimpende,
Kongosho unapajua Sangabuye?
 
Hahahahahahahahha
aisee hili jibu la asante linakatisha tamaa!
 
yewo kamwaali!
mi sio mgomvi tatizo dada mkubwa bana jana alisema anataka wa kumwamkia shikamoo!sasa we unajua dada mkubwa alivyo mkubwa!nani anaweza kuamkiwa na dada mkubwa kama sio babu Dark City
si ndio nikapiga cross bana!ohooooooo nililipuaje mzinga wa nyuki ndo matokeo yake hayo babu kafunguka mazimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
dada mkubwa hata hasemi ......AHSANTE NASHUKURU!anachekelea tu,yani hata haulizi REALLY kweli?
sasa mi ugomvi wangu unaanzia wapi?


heheh kaugomvi kako katamu lakini.
Naona dada mkubwa na sintofahamu zake while anachekelea.

Babu DC nae yumo kweli, eti akajidai nakupenda I love you . . . heheh alafu akaact ni comment!
 
heheh kaugomvi kako katamu lakini.
Naona dada mkubwa na sintofahamu zake while anachekelea.

Babu DC nae yumo kweli, eti akajidai nakupenda I love you . . . heheh alafu akaact ni comment!

seeeema wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom