Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

mweeeh! acha tu.
hivi mwali, mtu aweza kuwa kigori ilihali kazaa??
mwali si wajua mie mtuhumiwa wa babu Dark City aniita kisura kila uchao!\

so inategemea!
ila mwee naipatia picha katika kihalisia ile,kigori af ana kesi kama za kichwa changu cha moto au cha baridi ka nne au tau hiv aaaaah banaaa!haiwezkani!
 
Last edited by a moderator:
Wee cheka cheka tu, Dark City keshafunguka hivyo

Nakudediketi Jolene wa Dolly Parton
BAK naomba studio waniwekee, nna uchungu hata siwezi kuweka huo wimbo
ha haaaa, lol!
babu Dark City njoo usikilize haya maneno...
eti mwenzangu una habari na huu uvumi wa mjini?
huyu lazima ni snowhite akisaidiana na mwanafunzi wake Kaizer ndo wanavumisha
 
Last edited by a moderator:
mwali si wajua mie mtuhumiwa wa babu Dark City aniita kisura kila uchao!\

so inategemea!
ila mwee naipatia picha katika kihalisia ile,kigori af ana kesi kama za kichwa changu cha moto au cha baridi ka nne au tau hiv aaaaah banaaa!haiwezkani!

hilo ndilo jibu haya sasa Kongosho umemwelewa mwl??
 
Last edited by a moderator:
Dada kumbe nawe kagomvi gomvi eeh???

Btw; nikuwoni!
yewo kamwaali!
mi sio mgomvi tatizo dada mkubwa bana jana alisema anataka wa kumwamkia shikamoo!sasa we unajua dada mkubwa alivyo mkubwa!nani anaweza kuamkiwa na dada mkubwa kama sio babu Dark City
si ndio nikapiga cross bana!ohooooooo nililipuaje mzinga wa nyuki ndo matokeo yake hayo babu kafunguka mazimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
dada mkubwa hata hasemi ......AHSANTE NASHUKURU!anachekelea tu,yani hata haulizi REALLY kweli?
sasa mi ugomvi wangu unaanzia wapi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom