Aka ctakii nmechokaa na vitukoo vyakoo
Hahahah shem....abiria chunga. We mwenyewe unakiri hapa kwamba nimevumbua mgodi wa manzese kariakoo....unadhani nna kazi ndogo hapo?
Anateleza? Nimetoka kapa shem
Sukari ya warembo ''kuteleza means hashikiki kirahisi) unahitaji juhudi za makusudi.
janeth1 nina siku sijakuona hebu njoo kuina neno nataka kukuambia
Njoo na 'Valentina' tafadhali ...!!
Wewe ni mmoja kati ya anawake wachache sana niliowatamkia hilo neno
Hebu jione mwenye furaha basi?
Mi namaanisha wala sitanii kabisaaaa!
Aka ctakii nmechokaa na vitukoo vyakoo
Mara mbilii
mbili tu kweli?
Dah kuna MTU huyo yani ye in kila SAA ilikuwa I love u ukimuliza upo wapi atkujibu
Nipo home I love you,
Ukimwambia pitia basi hapo dukani nletee mafuta ya nywele utaskia
Haya beby I love you
Good9t basi tena utaskia
You too i love you
Khaaa kunchoshaga miye"!!!!!
duh! aisee madam hii kali, i love you!