Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Nashukuru kaka kukusikia tena.
Yeah.. Mr Rocky nadhani naye atarejea siku si nyingi.
Khantwe ndio kiongozi wa mbio za mwenge wako siku hizi? Haki yanani miss chagga urudi tu kijijini ukalime ndizi sasa. Ntuzu alikua anatutunza sana sisi mashemeji hata kiwatengu ni shahidi ,mwaminifu kenye hili... sasa umekata kamba masikini ya JK sijui inakuaje tena... uuuwiiiiii.... Kaka ntakupa dada yetu mwingine ngoja nimlie timing kwanza.
miss chagga umetukatia riziki ujue?

Umetangaza vita na Khantwe
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ntafurahi sn kumuona Mr Rocky hapa!

Khantwe Mkuu Ndio Kiongozi Wa mbio za Mwenge kabisa tena anafaa na amefiti kila idara mpk kiwatengu anafahamu!

miss chagga Huyu bora akalime ndizi Maana Bahati kaichezea Mwenyewe ila Nyie kaka zake Bado tuko wote bega kwa bega!
 
Bega kwa bega mwisho wakupe dada yao mwingine lol
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kaka kukusikia tena.
Yeah.. Mr Rocky nadhani naye atarejea siku si nyingi.
Khantwe ndio kiongozi wa mbio za mwenge wako siku hizi? Haki yanani miss chagga urudi tu kijijini ukalime ndizi sasa. Ntuzu alikua anatutunza sana sisi mashemeji hata kiwatengu ni shahidi ,mwaminifu kenye hili... sasa umekata kamba masikini ya JK sijui inakuaje tena... uuuwiiiiii.... Kaka ntakupa dada yetu mwingine ngoja nimlie timing kwanza.
miss chagga umetukatia riziki ujue?

Nasikia maneno yako
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ntafurahi sn kumuona Mr Rocky hapa!
Khantwe Mkuu Ndio Kiongozi Wa mbio za Mwenge kabisa tena anafaa na amefiti kila idara mpk kiwatengu anafahamu!
miss chagga Huyu bora akalime ndizi Maana Bahati kaichezea Mwenyewe ila Nyie kaka zake Bado tuko wote bega kwa bega!

Tutabanana hapa hapa nitafanya mapinduzi mimi
 
Last edited by a moderator:
We kumbe bwe.ge eeh?

mi namwita Makomana kwani kuna dhambi,we kama sio ka pembeni, miss strong picha la mazombie cinema hall linaanza Khantwe mi sina shida na wewe ulisha nipa mengi kwa ID ileeee Ntuzu a.k.a wakusindikiza mwaka wako miss chagga dawa ya moyo ni kuche....? mi natulia hapa nawatch hii conversion kwenye LCD connected na hdml via pc na mrembo tumboo akiwa anachezea hela mezani koho koho
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana Kaka. Mzee wa miamba atakuja aisee.. tuendelee kumuombea recovery.

Kwenye red umenitia moyo sana... maana ningekauka kwenye zile nyama choma ghafla sijui ningjiteteaje mkulima mie. You worth it Meen!!!!
Mkuu ntafurahi sn kumuona Mr Rocky hapa!

Khantwe Mkuu Ndio Kiongozi Wa mbio za Mwenge kabisa tena anafaa na amefiti kila idara mpk kiwatengu anafahamu!

miss chagga Huyu bora akalime ndizi Maana Bahati kaichezea Mwenyewe ila Nyie kaka zake Bado tuko wote bega kwa bega!
 
mi namwita Makomana kwani kuna dhambi,we kama sio ka pembeni, miss strong picha la mazombie cinema hall linaanza Khantwe mi sina shida na wewe ulisha nipa mengi kwa ID ileeee Ntuzu a.k.a wakusindikiza mwaka wako miss chagga dawa ya moyo ni kuche....? mi natulia hapa nawatch hii conversion kwenye LCD connected na hdml via pc na mrembo tumboo akiwa anachezea hela mezani koho koho

Natamani ningekuelewa....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom