Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Ni vitu vya kawaida kaka Ntuzu limwata likikolea sisi raia wema wa jamhuri ya Tz tunapopambana kuwaamsha usingizini tunaonekana waongo.... haturudi nyuma kamwe sisi... hadi tukukomboe mateka wa Khantwe. Bora Asprin na Kaizer hawajui huu uhusiano wenu maana pangukua pameshachimbwa siku nying sana apa...kuna fununu kati yao kuna mateka pia.. tusubirie udaku special edition 4 mwallu, muuza ubuyu FYI
Luv u Swty.

Waongo km Tized mtajiju!
 
Last edited by a moderator:

hapa kuna nini kijana wangu
 
Last edited by a moderator:
nataka kukununulia? OOOOHHH NOOOO. Sina uwezo best. Labda kukununulia carton ya maji ya uhai yale madogo.. hio hainishindi.
Hahahah....friza alininunulia mume wangu Ntuzu....na wewe unataka?
 
nataka kukununulia? OOOOHHH NOOOO. Sina uwezo best. Labda kukununulia carton ya maji ya uhai yale madogo.. hio hainishindi.

Nauluza kama na wewe unataka friza upigwa na upepo
 
Mimi ni kimbaumbau sana wala huhitaji nafasi kubwa kwa ajili yangu. nimeshapimia.. Tutaenea tena na kubaki nafasi. Looking fwd meeting you!!!
Linanitosha mwenyewe hilo si unaona?
 
Mimi ni kimbaumbau sana wala huhitaji nafasi kubwa kwa ajili yangu. nimeshapimia.. Tutaenea tena na kubaki nafasi. Looking fwd meeting you!!!

Ongea na my husband kwanza
 
Aseme yeye....naona unanitafutia talaka ya mchana kweupe

Mke wangu inabidi tuhame nchi sasa Maana imeshakua kero! Kila kona watu wanataka kunipora Mke! Mpk wale niliokua nawaamini km Tized Anataka mje mjipange kwenye Friza n'lo nunua kwa hela Yangu MENYEWE!

Aise njoo tu uone km sijakugeuza FILLET!
 
Last edited by a moderator:
Afadhali hani umekuja... Tized alikuwa ananishawishi tubanane kwenye hako kafriza kangu eti....

Nimemuona Muda mrefu tu Huyu Tized

Kimwili chake chenyewe kimbaombao Alafu Anataka vita!
 
Last edited by a moderator:
Mke wangu inabidi tuhame nchi sasa Maana imeshakua kero! Kila kona watu wanataka kunipora Mke! Mpk wale niliokua nawaamini km Tized Anataka mje mjipange kwenye Friza n'lo nunua kwa hela Yangu MENYEWE!

Aise njoo tu uone km sijakugeuza FILLET!

Kweli twen'zetu kwa obama mpenz
 
Last edited by a moderator:
Nimemuona Muda mrefu tu Huyu Tized

Kimwili chake chenyewe kimbaombao Alafu Anataka vita!

Nachokuuliza kila siku na unanipa maswali
Unajua mnamtafutia mkeo foleni ona sasa Tized kaingia kwenye list Mentor shemej shemeji haina madhara...babu Asprin yule kadata kabisa

Bora uhame nchi kabisaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom