Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Ko umeamua kushtaki au...??

user-online.png
Khantwe naomba umwambie mumeo Ntuzu aniache kabisa maswala ya kunifuatilia wakati mume wangu yupo akome tena akome ....shemeji yangu Tized nimekumiss wewe ...... mume wangu jamani nakupenda sana Mr Rocky nakupenda sana usisikilize maneno ya wengine mimina wewe mpaka mwisho
 
mi namwita Makomana kwani kuna dhambi,we kama sio ka pembeni, miss strong picha la mazombie cinema hall linaanza Khantwe mi sina shida na wewe ulisha nipa mengi kwa ID ileeee Ntuzu a.k.a wakusindikiza mwaka wako miss chagga dawa ya moyo ni kuche....? mi natulia hapa nawatch hii conversion kwenye LCD connected na hdml via pc na mrembo tumboo akiwa anachezea hela mezani koho koho
dawa ya moyo ni kuchepuka usifiche
 
Miss chagga dawa ya moyo ni kuche.....nmeamin we ni mchepukajii kaa ckutak kwa mtindo huu utanletea magonjwa
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kaka kukusikia tena.
Yeah.. Mr Rocky nadhani naye atarejea siku si nyingi.
Khantwe ndio kiongozi wa mbio za mwenge wako siku hizi? Haki yanani miss chagga urudi tu kijijini ukalime ndizi sasa. Ntuzu alikua anatutunza sana sisi mashemeji hata kiwatengu ni shahidi ,mwaminifu kenye hili... sasa umekata kamba masikini ya JK sijui inakuaje tena... uuuwiiiiii.... Kaka ntakupa dada yetu mwingine ngoja nimlie timing kwanza.
miss chagga umetukatia riziki ujue?

nimekusoma sana mkuu mi niko vizuri sana.

mzee wa miamba ata recover tu.
mungu ni mwema.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana Kaka. Mzee wa miamba atakuja aisee.. tuendelee kumuombea recovery.

Kwenye red umenitia moyo sana... maana ningekauka kwenye zile nyama choma ghafla sijui ningjiteteaje mkulima mie. You worth it Meen!!!!

Nashukuru sn Mkuu!

Tuko pamoja sn kaka!
 
user-online.png
Khantwe naomba umwambie mumeo Ntuzu aniache kabisa maswala ya kunifuatilia wakati mume wangu yupo akome tena akome ....shemeji yangu Tized nimekumiss wewe ...... mume wangu jamani nakupenda sana Mr Rocky nakupenda sana usisikilize maneno ya wengine mimina wewe mpaka mwisho

Hahaha my Ntuzu wala hakufuatilii
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa samahani shostito no way....bikra yangu bado ninayo upo?

ya mchina i concur na kile kitamba huwa nahama nacho for memorial

Makomana eti khantwe bikra nahisi kizunguzungu
 
Last edited by a moderator:
Shem angalia usilikoroge mapema hii !!! Hahahahaaaaa.... Ila kama ni huyu Ntuzu nayemfahamu.... UMEBAHATIKA.

Hahahah shem....abiria chunga. We mwenyewe unakiri hapa kwamba nimevumbua mgodi wa dhahabu kariakoo....unadhani nna kazi ndogo hapo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom