ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,597
Kweli twen'zetu kwa obama mpenz
Nakutetea best muende utanitumia vizawadi au VIP
Lalamika mwambie kila uchao unasumbuliwa lol
Kweli twen'zetu kwa obama mpenz
Nakutetea best muende utanitumia vizawadi au VIP
Lalamika mwambie kila uchao unasumbuliwa lol
Tabia ya kumkoti mume wangu umeanza lini? Nisikuone tena
Twende na wewe ukakamate fursa lol
Best niamin mm na wewe tna si hiana na mumeo
Najua unavyompenda .
Si unatangulia wewe na laziz ndo mm nije baadaeee
Mi nalenga kupata tu upepo na si vinginevyo.