Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

Kila unapoendanda mitaani utakuta watu wanatembea lakini haina maana wanaotembea leo ndio wale waliokuwa wakitembea jana. Siku zote watu wapo tu lakini si walewale siku zote! Mtu akisema mawodini wagonjwa wamejaa/wameongezeka huwezi kusema mbona barabarani wamejaa tu, kwa hivi sio kweli. walionachao na wasoi nacho wapo siku zote na kuna kuongezeka au kupungua haipingiki. Dunia ni mapishano sio mabishano!
 
Yaniii jamaa wanaona wananchi wote sisi mazwazwaaa...

Balaa si wanatumia mitutu ya wanausalama wetu, kutuminya kende.

Magari ya washawasha hutembezwa kirahisi tu mitaani kisa kututisha tusidai haki zetu

Kutuweka mahabusu hovyohovyo, mahakimu nao kama wazee wakombati

Bungeni do kabisaaa waanzilishi wa hizi swaga za mikukuta, mikurabita, kilimo kwanza

Sass hata akiba - mafao ya uzeeni ccm kupitia bunge wanatupiga... Hili Taifa halitapiga hatua unless ccm imekufa

Sijuwi itakufaje..... Ni Mungu tu ndio anajuwa

Jeshini wamejaa

Polisi wamejaa

Mahakani wamejaa

Kila mhimili wamejaa

Hatuna wakututetea nikuburuzwa tu

Tuwalishe kwa kodi zetu, nakutunyima haki watunyime.
 
Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].

Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.

Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.

Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.

Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.

Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.

Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?

Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.

Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.

Wakatabahu,

Alhaji N. Ngabu [emoji6].
Let's be fair. Uhalisi mbadala si kwa Tanzania tu. Hebu angalia habari kwenye runinga sasa hivi. Unaweza kudhani mwisho wa dunia umeshafika kitambo. Kama sio itikadi ya Trump na his far-right, Neo-Nazi, alt-right, nationalist, fascist, racist... thugs kuonekana kama inateka dunia basi ni tishio la global warming, au carbon sijui imefanyaje, au ni mauaji yanayofanywa na Saudi Arabia huko Yemen, au ni unyama wa Israel huko Palestine, au tishio la ugaidi from ISIS, Al-Qaeda, Taleban, Al-Shabaab au Boko Haram... Au rising sea level, au global poverty au migrant crisis... au Brexit... Au the threat from Putin/Russia.... Fake news a.k.a alternative truth... Global financial crisis... Antibiotics kufeli... Tiba ya Ukimwi kuwa kitendawili...potential kwa AI kutumiwa vibaya... Dark Web taking over... nk, nk, nk

Na uhalisia mbadala sio kuhusu Tanzania au ulimwengu tu bali hata hapo ulipo Marekani. Picha tunayopata wengine tulio nje ya nchi yenu ni kuhusu ubaguzi wa kutisha zaidi ya watu weusi, taifa kubwa kabisa duniani kuendeshwa na kichaa Trump, Russia na Putin kuiendesha Marekani kwa rimoti kupitia Trump, NSA kama big brother, opioid crisis, right wing conspiracies, etc, etc, etc.

Je habari pekee duniani, au kutoka Marekani, au kutoka Tanzania ni hizo za uhalisi mbadala? Absolutely not. Je ni lazima kukutana nazo. Almost certainly not. Most of stuff we meet online ni kutokana na poor choices zetu au kuwa less informed about how to use the internet.

Hata hapa Jamii Forums, unaweza kunufaika vya kutosha tu ukijihangaisha kufahamu nani gwiji wa fake news, nani kada, nani anaongea point, nk. Twaishi zama zinazohitaji "akili kumkichwa."

I stand to be corrected.
 
Siku nyingine usirudie kutoa mada za kipuuzi Kama hii, Tena ungekuwa karibu ningekukata masikio mbavu kabisa wewe

Tukutane hapo Mibbs Tavern, Sinza.

Mishale ya saa tisa au kumi jioni hivi.
 
Hata huko Zimbabwe unakosema,watu walipokula panya waliambiwa,panya ni wazuri tena wana protini nyingi sana.
Leo nyani anaona hali ni shwari kwa sababu ndani ya nyumba bado kuna pumba!
 
Hayajakukuta na ulizaliwa familia za king fulani labda. Uhalisia upo kama umezaliwa kwa familia maskini, mfano kwangu mm, mzee anaumwa hana uwezo wa kwenda hospitali, me mwanao nilikuw na kiasi kadhaa akanishaur bora niombe mkopo ili niendlee na masom, ajabu mkop nimekosa na hela yangu imeliwa unadhani me naish vp na familia yetu? kujiaji bila mtaji ni sawa kutwanga maji upate unga tu. Mshukuru mungu kwa kuish vizuri ila hali ngumu sana tunaumia sana
Nadhani hujamuelewa huyu nyani, ngoja nikuulize swali " ni mwaka gani kila aliyeomba mkopo alipewa"?? Nijibu hilo swali tu
 
Mbona ata hii hoja ya kukanusha kua hali sio mbaya umeileta huk huk mitandaoni. Mitandao ipo neutral inapokea kila kinacholetwa ukiona weng wasema hali ni mbaya kuliko wanaotetea kua sio mbaya bas jua hali ni mbaya. THE RULE OF MAJORITY.

Ukitaka tuamin kua hali sio mbaya hoja za kusifia maisha ni mazur ziwe nying kuliko zinazosema hali ni mbaya simple as that, do not accuse mitandao ni watu ndo wanasema kupitia mitandano
 
Nyani Ngabu hivi kitengo kinakutumia kiasi gani kwa mwezi, huko nyuma hukua hivyo, bei ya sukari unaijua?
Bei mafuta (yote) unaijua?
Bei ya dola unaijua?
Vyote hivyo vimepanda watumishi wamebakia pale alipowakuta

Nini cha ajabu vitu kupanda bei?

Ushawahi kuona bei zisizopanda?

Sijui mnaishi dunia gani tu nyie watu!!!
 
Kwa wafanyakazi ukiona mtu analialia saaaana jua tu alikuwa haishi kwa kipato halali kwa asilimia kubwa, either alikuwa sehemu ya kupiga rushwa rushwa ndogo ndogo au na kubwa, au alizoea safari na vikao vya kulipwa visivyo na tija kwa taasisi na taifa, wenyewe wanamsemo wao kutafuta ada ya watoto ikifika december top layer yote ilikuwa nje ya nchi kwenye kuudhuria vikozi vya junior staff au kula bata tu.

Tunajua mishahara haitoshi lakini watu wanaishi maisha ya kusadikika sana. Tena mtu huyo hana hata genge la kumiongezea kipato.

Kwa wafanyabiashara hali inaweza kuwa ngumu, kwani kodi wanabanwa sana wengi walizoea njia za panya na wazee wa kukusanya kodi siku hizi wanatarget tu kichwani. Pia wateja wamekuwa na akili ya kutumia pesa siyo mambo ya zungusha meza zote tena!

Kwa wamiliki wa magari bila shaka hali ni ngumu mafuta yamepanda sana bei, japo load licence ilitolewa na kusukumizwa kwenye lita ya mafuta imeongeza mbinyo.

Bila kusahau wahitimu wa vyuo wanakatwa 15% kwa sasa
Rushwa ndiyo imezidi kuota mizizi kipindi hiki cha awamu ya 5,wanasiasa wanahongwa zaidi kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za jiwe,na zaidi 1.5 tr zimeibwa na wakuu wetu watukufu
 
Ugumu wa maisha ya watanzania huwez kuyasemea wewe unayeishi mbali huko.Tuliopo Tanzania ndyo tunajua ni jinsi gani watu wanateseka....usifikiri wanaposema maisha yanekuwa magumu kwamba hawatokuwepo wanoakunywa pombe,kufanya anasa zote unazozijua..starehe zitakuwepo lakini angalia walio wengi maisha yao yapoje?

Hata huko Zimbabwe wakat wanapitia halo ngumu bado pombe zilinywewa,maduka yaliuza bidhaa,....

Tuache tuliopo huku tuisome namba,wewe endelea kula raga huko uliko

Tanzania ni nchi ya dunia ya tatu.

Maisha ni magumu siku zote.

Ugumu haujaanza leo.
 
Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].

Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.

Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.

Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.

Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.

Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.

Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?

Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.

Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.

Wakatabahu,

Alhaji N. Ngabu [emoji6].
kazi na bata
#MEMBE
IMG_20181207_210712_315.jpg
IMG_20181207_231558_352.jpg
 
Kwa wafanyakazi ukiona mtu analialia saaaana jua tu alikuwa haishi kwa kipato halali kwa asilimia kubwa, either alikuwa sehemu ya kupiga rushwa rushwa ndogo ndogo au na kubwa, au alizoea safari na vikao vya kulipwa visivyo na tija kwa taasisi na taifa, wenyewe wanamsemo wao kutafuta ada ya watoto ikifika december top layer yote ilikuwa nje ya nchi kwenye kuudhuria vikozi vya junior staff au kula bata tu.

Tunajua mishahara haitoshi lakini watu wanaishi maisha ya kusadikika sana. Tena mtu huyo hana hata genge la kumiongezea kipato.

Kwa wafanyabiashara hali inaweza kuwa ngumu, kwani kodi wanabanwa sana wengi walizoea njia za panya na wazee wa kukusanya kodi siku hizi wanatarget tu kichwani. Pia wateja wamekuwa na akili ya kutumia pesa siyo mambo ya zungusha meza zote tena!

Kwa wamiliki wa magari bila shaka hali ni ngumu mafuta yamepanda sana bei, japo load licence ilitolewa na kusukumizwa kwenye lita ya mafuta imeongeza mbinyo.

Bila kusahau wahitimu wa vyuo wanakatwa 15% kwa sasa

Ninakazi na nimefanya makampuni yakimataifa zaid ya matano mpaka sasa hapa nchini ... Lakini fluctuations zinatofautiana sana kiuchumi kutoka rais mmoja kwenda mwingine. Cost of living as of now if plotted could show exponentially rising to harm ground level living throughout the country

Mshahara nzuri, haiondoi ukweli wa uhalisia wa maisha ya waliowengi mitaani, dhiki hasa ugumu wa maisha upo wazi kwa watu
Bishara kubwa zikitetelekea ....ndogo zimeteteleka

Ili dewji afanye faida lazima wakulima the final consumers wawe vizuri kinyume chake hesabu maumivu

Siwezi kutumia makalio mbili niite sabini kisa Mimi nakula vizuri nitakuwa mwehu halisi kama walivyo wengi hapa jukwani kudanganyadanganya tu.

Tunapima ubora kwa asilimia ngapi sio individuals, majority ndio jibu linalokubalika minorities always wapo yet sio reference
 
Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].

Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.

Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.

Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.

Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.

Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.

Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?

Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.

Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.

Wakatabahu,

Alhaji N. Ngabu [emoji6].
We Diaspora? Au umefukuzwa na Trump!?
 
Let's be fair. Uhalisi mbadala si kwa Tanzania tu. Hebu angalia habari kwenye runinga sasa hivi. Unaweza kudhani mwisho wa dunia umeshafika kitambo. Kama sio itikadi ya Trump na his far-right, Neo-Nazi, alt-right, nationalist, fascist, racist... thugs kuonekana kama inateka dunia basi ni tishio la global warming, au carbon sijui imefanyaje, au ni mauaji yanayofanywa na Saudi Arabia huko Yemen, au ni unyama wa Israel huko Palestine, au tishio la ugaidi from ISIS, Al-Qaeda, Taleban, Al-Shabaab au Boko Haram... Au rising sea level, au global poverty au migrant crisis... au Brexit... Au the threat from Putin/Russia.... Fake news a.k.a alternative truth... Global financial crisis... Antibiotics kufeli... Tiba ya Ukimwi kuwa kitendawili...potential kwa AI kutumiwa vibaya... Dark Web taking over... nk, nk, nk

Na uhalisia mbadala sio kuhusu Tanzania au ulimwengu tu bali hata hapo ulipo Marekani. Picha tunayopata wengine tulio nje ya nchi yenu ni kuhusu ubaguzi wa kutisha zaidi ya watu weusi, taifa kubwa kabisa duniani kuendeshwa na kichaa Trump, Russia na Putin kuiendesha Marekani kwa rimoti kupitia Trump, NSA kama big brother, opioid crisis, right wing conspiracies, etc, etc, etc.

Je habari pekee duniani, au kutoka Marekani, au kutoka Tanzania ni hizo za uhalisi mbadala? Absolutely not. Je ni lazima kukutana nazo. Almost certainly not. Most of stuff we meet online ni kutokana na poor choices zetu au kuwa less informed about how to use the internet.

Hata hapa Jamii Forums, unaweza kunufaika vya kutosha tu ukijihangaisha kufahamu nani gwiji wa fake news, nani kada, nani anaongea point, nk. Twaishi zama zinazohitaji "akili kumkichwa."

I stand to be corrected.

....so what’s your point?
 
Back
Top Bottom