maukijunior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 232
- 374
Mkuu wewe ni CCM [emoji87] sio bure,,, tena utakua na kitengo,,,
BNR ndio nini?Mzee wa BRN huwezi elewa ninachokieleza
Mchawi tu!Mkuu wewe ni CCM [emoji87] sio bure,,, tena utakua na kitengo,,,
Ni watanzania wangapi waliokuwa wastaafu mwaka huu wameathirika? Mbona hizi kelele zilikuwepo kabla hata ya haya mabadiliko ya pension?Nazungumnzia pension ambayo nilikuwa nakatwa toka kwenye mshahara kila mwezi kwa ajili ya maisha ya kustahafu. Awamu hii wameichota yote hawana jinsi ya kuirudisha sisi mtaani ndiyo sasa tunaishi kiujanja ujanja kuwakwepa wanaotudai.
BNR ndio nini?
Ni watanzania wangapi wanategea ongezeko wa mshahara kiasi cha ku-conclude kuwa mitaani hakukaliki kwa sababu ya maisha magumu?Ukisikia uwezo mdogo wa watanzania kufikiria ndo huu
1. Hoja yenu inaongelea nini?
2. Zipo facts zakutafsiri hicho mlichokileta? Zipi?
3. Nani anatakiwa kutetea hii hoja yakipumbavu wewe utushawishi au Mimi kukuuliza wewe?
Nitakujibu kifupi ukishindwa kunielewa wewe mwehu
Kila kipindi kulikuwa na gradual salaries increment hence life balance existed
Sasa hivi is one way fusing no balance to the citizens side.
Ni watanzania wangapi waliokuwa wastaafu mwaka huu wameathirika? Mbona hizi kelele zilikuwepo kabla hata ya haya mabadiliko ya pension?
Ukweli nikwamba maisha yawatanzania walio wengi hayajawahi Kuwa mazuri ila kipindi hiki yamezidi kuwa mabaya zaidi... Ungekuwa shopkeeper ungeona hali halisi ya watanzania walio wengi... Mtu anaomba umpie sukari ya miatatu yani hata robo tu sh600 hana...hao ndio watanzania wanyonge sassHunijui. Mimi husimamia ukweli na si mfuata mkumbo! Mkumbo ninaoukataa ni kuunga tela na kusema kuwa maisha ya mtanzania wa kawaida yaliwahi kuwa mazuri na sasa ni mabaya!
Na mimi mbona hukujibu swali langu?Nyinyi watu jibuni tunayo wauliza
Umeongea bila fact hata moja ama kweli huu Uzi huu waajabu.
1. Tuambie Lita moja ya petrol ni Tsh ngapi? Kwanini na ina-impact gani kwa maisha ya mtanzania ukizingatia yafuatayo
a) ongezeko la mishahara sambamba na ongezeko la bei ya petrol
Kikwete ilikuwa Tsh ngapi Vs sasa ya Pombe
Mishahara imepanda kwa uwianogani?
Nitakuuliza swali la pili ukijibu hilo
I am a shopkeeper my dear. Hii ni hali ya kawaida.Ukweli nikwamba maisha yawatanzania walio wengi hayajawahi Kuwa mazuri ila kipindi hiki yamezidi kuwa mabaya zaidi... Ungekuwa shopkeeper ungeona hali halisi ya watanzania walio wengi... Mtu anaomba umpie sukari ya miatatu yani hata robo tu sh600 hana...hao ndio watanzania wanyonge sass
Tatizo watanzania mnadhani Wanaopata mshahara tu ndo wana Hali mbayaa.. Yani kaaa ukijua elaa wanayolipwa wafanyakazi ndo hizo wanazitumia Kununua vitu madukani..hosp...kulipa adaa.. Sasa hali zao zikiwa mbayaa wewe na bidhaa zako hizo zitadodaaa tuu... kama unauza sabuni sijui ukikosa wateja watoto watakula hizo sabuni?????Ni watanzania wangapi wanategea ongezeko wa mshahara kiasi cha ku-conclude kuwa mitaani hakukaliki kwa sababu ya maisha magumu? Usiniponijibu wewe mwehu!
Wewe unataka ideas au jina.Rudi kwa jina lako tujadili kama ulivokuja
Ukijificha kwa kifyatu sina muda
Yaani wewe jamaa ulishashindikana kabisa😀😀..hiyo style yako ya kumalizia mada imenischekesha sana.Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].
Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.
Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.
Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.
Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.
Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.
Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?
Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.
Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.
Wakatabahu,
Alhaji N. Ngabu [emoji6].
Ni watanzania wangapi wanategea ongezeko wa mshahara kiasi cha ku-conclude kuwa mitaani hakukaliki kwa sababu ya maisha magumu? Usiniponijibu wewe mwehu!
Na mimi mbona hukujibu swali langu?
Wewe unataka ideas au jina.
Tunabadilishana mawazo hapa sio kutafuta mchumba.
Picha hupati
Jina ndio hilo.
Ukilitaka kwa urefu naitwa
YAHYA KIFYATU
Napatikana pia twita kwa jina hilo.
Haiwahusu waliostahafu mwaka huu tu. Mimi nina zaidi ya miaka 7 toka nistahafu. Nilikuwa napokea pension yangu vizuri bila matatizo. Matatizo yameanza Sept baada ya mambo ya kishenzi kuanza kutumika August.Ni watanzania wangapi waliokuwa wastaafu mwaka huu wameathirika? Mbona hizi kelele zilikuwepo kabla hata ya haya mabadiliko ya pension?
Don't play games with me.Tafuta maana ya matokeo makubwa sasa.