Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

Hayajakukuta na ulizaliwa familia za king fulani labda. Uhalisia upo kama umezaliwa kwa familia maskini, mfano kwangu mm, mzee anaumwa hana uwezo wa kwenda hospitali, me mwanao nilikuw na kiasi kadhaa akanishaur bora niombe mkopo ili niendlee na masom, ajabu mkop nimekosa na hela yangu imeliwa unadhani me naish vp na familia yetu? kujiaji bila mtaji ni sawa kutwanga maji upate unga tu. Mshukuru mungu kwa kuish vizuri ila hali ngumu sana tunaumia sana
 
Kwanza kabla ya kuanza kubishana kuwa hali ni nzuri au mbaya lazima kwanza vifahamike viashiria vinavyoonyesha mwenendo wa uchumi ukoje,Je ndani ya miaka hii mitatu Benki ngapi zishafungwa/kuwekwa chini ya usimamizi wa BOT,Je hali na mauzo ya soko la hisa ikoje ukilinganisha na miaka mitatu iliyopita?.Mfumuko wa bei ya vitu muhimu ukoje,Thamani ya sarafu yetu leo ikoje ukilinganisha na miaka mitatu iliyopita,purchasing power ikoje,Ajira zimeongezeka ama kupungua.mjadala wa uchumi bil namba bado haujawa mjadala,huwezi sema sababu watu bado wanakunywa bia hali sio mbaya.

ngoja leo nikufollow..una busara sana..una madini kwakweli...
 
Hayajakukuta na ulizaliwa familia za king fulani labda. Uhalisia upo kama umezaliwa kwa familia maskini, mfano kwangu mm, mzee anaumwa hana uwezo wa kwenda hospitali, me mwanao nilikuw na kiasi kadhaa akanishaur bora niombe mkopo ili niendlee na masom, ajabu mkop nimekosa na hela yangu imeliwa unadhani me naish vp na familia yetu? kujiaji bila mtaji ni sawa kutwanga maji upate unga tu. Mshukuru mungu kwa kuish vizuri ila hali ngumu sana tunaumia sana
 
Ongezeko gani la mishahara unalozungumzia wewe? Manake si ajabu umekariri tu mishahara ya serikali kana kwamba serikali ndo mwajiri pekee nchi nzima...

Kuhusu suala la mafuta, mafuta bei yake huongezeka na kupungua karibu sehemu zote duniani. Hata Marekani huko kwenye uchumi mkubwa kabisa mafuta hupanda na kushuka bei, seuze Tanzania??

Tatizo unapaniki weka data Mzee mzima hatupo kulipuka bila fact
 
Usijibu maswali ya MTU bila kuzingatia uhalisia. Amekuthamini ndio maana kakuuliza

Usitowe majibu ya fedheha yasiyo na mantiki

Tunataka majibu utushawishi tuamini usemacho.... Tulia na fafanua vizuri

Kunawa watu wanajipiga risasi, wanajinyonga na kujijeruhi.....

Huwezi kusema huo ndio mtazamo wa binadamu wote hapana.... Kula mihogo mtu mmoja haiwezi kuwa kipimo cha Maisha yetu woote

Kibaya kwenye hilo jibu langu ni kipi?

Manake mimi ndo nimedokeza kwamba kula mihogo si nongwa.

Mihogo ni chakula tu tena ni mitamu kweli kweli.

Sasa fedheha iko wapi hapo?

Watu wanaolipwa milioni 7 hawali mihogo?
 
Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].

Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.

Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.

Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.

Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.

Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.

Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?

Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.

Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.

Wakatabahu,

Alhaji N. Ngabu [emoji6].
Yaani binge la posti kwa leo. Mi juzi kati nilikuwa Sumbawanga, nikaenda Mbeya, then nikamalizia Ruvuma, yaani kote huko watu wanakula bata ile mbaya, hasa Mbeya ndiyo nilifurahi, ndizi fungu kubwa ni elfu moja tena unabembelezwa na wale akina mama, ukija njiani mkungu wa ndizi elfu tatu, na watu wanauza. Sasa hivi mananasi shs mia tano mia tano wengine wanauza kwa mafungu elfu moja moja, yaani watu ni full shangwe. Huku mitandaoni tunasumbuliwa na wapiga box na lile kundi la wasioitakia mema nchi
 
Tatizo unapaniki weka data Mzee mzima hatupo kulipuka bila fact

Wapi nimepaniki?

Acha kurusha rusha tu maneno pasipo mahala pake.

Nimekuuliza maswali badala ya kuyajibu unaishia kusema napaniki.

Unajua maana ya ku panic kweli?
 
Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].

Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.

Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.

Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.

Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.

Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.

Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?

Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.

Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.

Wakatabahu,

Alhaji N. Ngabu [emoji6].
Mkuu sijui kwa nini unashangaa yanayosemwa huku mitandaoni.

Sote tunajua wanaopiga kelele kwa sauti kubwa ni wale waliokuwa wanapata hela za serikali kiulaini. Hawa ni kama:

[emoji830]TRA officers
[emoji830]TPA officers
[emoji830]Wapokea mishahara ya watumishi hewa
[emoji830]Wauza ngada
[emoji830]Waliofaidi mafao ya mikutano nje ya ofisi
[emoji830]Waliokuwa wanatumia ofisi zao vibaya
[emoji830]Waliotegemea tenda za rushwa
[emoji830]N.k.

Hawa, na waliofaidika toka kwao ndio wanaopiga kelele leo.

Uliona watu kama Zitto walivyoshupaa bungeni wakati hela ya export levy ya korosho ilipokatwa na kutokupelekwa kwenye bodi?

Mimi nawasikiliza kelele zao tu halafu nasema

Ihiiiiiiiiii.[emoji23]
 
Hakuna wa kunipangia wapi niyatoe maoni yangu.

Maoni yasiyozingatia ukweli, ni upotoshaji

Hatuwezi kukunyamazia ukituwekia uwongo

Umeongea bila fact hata moja ama kweli huu Uzi huu waajabu.

1. Tuambie Lita moja ya petrol ni Tsh ngapi? Kwanini na ina-impact gani kwa maisha ya mtanzania ukizingatia yafuatayo

a) ongezeko la mishahara sambamba na ongezeko la bei ya petrol

Kikwete ilikuwa Tsh ngapi Vs sasa ya Pombe

Mishahara imepanda kwa uwianogani?

Nitakuuliza swali la pili ukijibu hilo
 
Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].

Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.

Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.

Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.

Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.

Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.

Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?

Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.

Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.

Wakatabahu,

Alhaji N. Ngabu [emoji6].
Kwani mkuu wewe unahuwamini upande upi?

Ata ivyo maisha ni kama njia ya train tu..hua yanaenda na kurudia pale pale tu!
 
Back
Top Bottom