Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,128
Wakuu nisaidien mia mbili ninunue sabuni
Siamin Kama mtoa mada ameenda shuleNaendelea kuamini shule sio kipimo cha akili..
Nyani ngabu bwana vtu vingine sisi Raia twavipitia Ila wewe wa fikiria ushabiki wa siasa tu. Sasa watu walalamike uongo Ili Iweje
Halafu shangaa sasa hawa wanaolia lia humu mitandaoni hela za bando wanazitoa wapi?
Kama wana hela za bando maana yake wana hela za kuchezea chezea, siyo?
Maana kutwa kucha wanashinda mitandaoni kulisha watu uzushi.
Kama kweli hali ingekuwa ni mbaya kiasi hicho hizi hela za bando wangezitoa wapi?
Kwani zaidi ya mitandao huongei na watu?
Siamin Kama mtoa mada ameenda shule
Team bush mlala Kwa shemeji mnufaika atajulia wapi ugumu wa maisha.We mbeba mabox ya huku umeyaishi?
Njoo ucheze ngoma mwenyewe,
Wapi nimepaniki?
Acha kurusha rusha tu maneno pasipo mahala pake.
Nimekuuliza maswali badala ya kuyajibu unaishia kusema napaniki.
Unajua maana ya ku panic kweli?
“Rais ni mtu wa kushutumiwa kila mara. Ukiona hataki kushutumiwa, ujue hajui sababu ya kuwa hapo.” *Harry_Truman*
Sidhani Kama umefika huko , mawazo yako ni ya la Saba kabisa au mtu ambaye hakwenda shule kbsNimeishia form 4 tu mimi.
Mbio za sakafuni huishia kizingitini.
Ifikapo 2020 ndio tutaona kama majority ya watu wanaichukia hii serikali.
Mkuu tuombe uzima tu.
Upinzani utaumbuka vibaya sana safari hii.
Kuna vyama vitafunga ofisi.
I honestly think this ‘hate’ is so grossly overstated.
But we shall find out come 2020.
Ni kweli kabisa Nyani. Maisha ya watanzania ni yale yale wakati wa Kikwete na ndiyo hayo hayo wakati huu. Hakuna kilichobadilika. Labda niseme kelele nyingi unazozisoma hapa nyingi zinatoka kwa wale watu amabao walikuwa wanaishi kijanja janja na sasa inawawia vigumu. Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sitakaa niwe mwanasiasa hivyo ninaposema ni wale waliokuwa wanaishi kijanja sipigi siasa. Kundi hili limebeba watu wa kada mbalimbali na karibia wote ni watumiaji wazuri wa Internet ndio maana unaona kelele zimekuwa nyingi.Nini wanachokula sasa hivi ambacho walikuwa hawakili zamani?