elabotate upotoshajiAngalau umejionea mwenyewe watu wa hasa JF walivyo wapotoshaji hasa akina Quinine Sky Eclat Salary Slip Erythrocyte Retired na wengine wengi
elabotate upotoshajiAngalau umejionea mwenyewe watu wa hasa JF walivyo wapotoshaji hasa akina Quinine Sky Eclat Salary Slip Erythrocyte Retired na wengine wengi
Maisha Tanzania awamu hii ni matamu sana,asiyependa aende kigali,Bujumbura,Lagos, au karachi atuachie Tanzania yetu.
.....ukiwa mvivu wa kufikiri, ni lazima uwe mtumwa wa mtu anayefikiri. Mtoa mada hajajisumbua kufikiri. Kuona watu wanaendelea na shughuli zao haimaanishi kanakwamba, wako njema. Labda kwa kuwa unaishi ughaibuni, pengine haufahamu reality ya maisha kwa sasa. Miswada kandamizi, ni kiashiria tosha cha kushindwa kutimiza yale ambayo wananchi wanataka. Kataa kufikiriwa na wengine hata kwa mambo madogo.
Nabisha!
Jumanne naenda mnadani pale Kidinda.
Najua watu watajaa mpaka pomoni.
Mbuzi watachinjwa, nyama zitachomwa na kuliwa papo hapo, na Balimi zitanyweka.
Kuhusu watu kuacha magari yao na kupanda daladala....
Watu huwa na sababu nyingi tu za kufanya hivyo:
Wengine kupanda daladala ni kufanya mazoezi.
Wengine hupanda daladala kwa sababu ya convenience.
Wengine hupanda daladala just for the hell of it.
Wengine hupanda daladala kwa sababu hawapendi kuendesha magari yao maana uendeshaji wa Dar, kwa mfano, unahitaji uwe na moyo mgumu kweli kweli.
Licha ya hayo, mbona foleni jijini Dar hazijapungua sasa kama watu wameacha kuendesha magari yao na kuamua kupanda daladala kwa sababu ya ugumu wa maisha?
Hela za nauli za kupandia daladala wanazitoa wapi?
Bado nabisha. Hali si mbaya kama tunavyoaminishwa.
Hali ingekuwa ni mbaya kihivyo basi hata wewe usingepata hela ya kununulia salio uje hapa JF na kutoa maoni yako kama ilivyo kwa wengine wanaotoa mawazo yao kwingineko huko mtandaoni.
Nabisha.
Usilinganishe marekani na TanzaniaOngezeko gani la mishahara unalozungumzia wewe? Manake si ajabu umekariri tu mishahara ya serikali kana kwamba serikali ndo mwajiri pekee nchi nzima...
Kuhusu suala la mafuta, mafuta bei yake huongezeka na kupungua karibu sehemu zote duniani. Hata Marekani huko kwenye uchumi mkubwa kabisa mafuta hupanda na kushuka bei, seuze Tanzania??
Ati huyu anabeba box ng'ambo ?! Mbona ana akili za kimasikini hivi !!!Kwa faida na hasara ya mafala kama wewe.
Hata kipindi cha Kikwete mlilalama hivi hivi lakini leo eti ndo kawa kipenzi chenu.
Makamanda wajinga kabisa.
Nani?? Are you serious?Nini wanachokula sasa hivi ambacho walikuwa hawakili zamani?
Nani?? Are you serious?
Ati huyu anabeba box ng'ambo ?! Mbona ana akili za kimasikini hivi !!!
Hizi ndio akili za Watanzania wasomi. Jaribu kufikiri ambaye hajapata elimu uelewa wake upoje. Mnajitahidi sana kuiharibu nchi. Huko nje umehama na ukoo wako wote? Mnapanda chuki ambayo hakuna atakaye weza kurekebisha siku yakiharibika. Mnaleta propaganda za kipuuzi badala ya kutumia akili na uelewa wenu kurekebisha mapungufu. Mnajisahau sana mnafikiri Tanzania na watanzania ni tofauti na South Sudan, congo, Rwanda, Burundi, Libya, Iraq, Syria. Hamjiulizi nini kilitokea huko hapa hakiwezekani? Mmebaki kutafuta sifa za kijinga hapa JF.
Acha uongo lita ya petrol 2500 nani anamudu kununua Mafita si bora kupanda daladala?
[emoji122][emoji122][emoji122]Are you serious?
Daladala shi ngapi na unapanda ngapi kwa siku?
Hiyo hoja unayotaka kuitoa ngoja nimwite mwanangu wa darasa la 5 akujibu.