Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,178
- 143,982
- Thread starter
- #21
Huwezi kuona ugumu wa maisha kwa kuwa unatembelea vx v8 la serikali na unalishwa na serikali
Mimi huyu ambaye ni ‘maskini’ wa JF???
Huwezi kuona ugumu wa maisha kwa kuwa unatembelea vx v8 la serikali na unalishwa na serikali
😂😂😂😂👊👊👊 kukosa kaziWatu wamejipanga kubishana leo
yaani kaamua jumapili tu naanza kubishana mpaka usiku weekend aifanye hivyo
Kumbe na wew uliwahahi kupanga foleni ya "kaya", kumbe umekula chumvi kidogo. Serikari ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ni muunganiko wa nchi tatu Tanganyika, Zanzibar na Mitandaoni. Sasa hawa wakazi wa nchi ya Mitandaoni ndio hawaridhishi sana na mwenendo wa Jamhuri ya Muungano
Mtu yuko ughaibuni anawasemea watu waliopo Manzese,Matombo,Mwemberadu na kwingineko matakoni mwa Tanzania, ili hali hata yeye mwenyewe akija Tanzania anafikia kwenye hotels za nyota kadhaa na baadhi ya ndugu zake anawakwepa kuchoshwa na mizinga!!!
Miafrika ndivyo tulivyo indeed, na unafiki ni mojawapo wa adui mkuu kabisa kwa Taifa hili na vizazi vijavyo!!
ndivyo mnavyowadanganya wagogo kuwa nyie ni maskini hadi mnawapelekea gari la kuzikia badala ya kuwaboreshea huduma za afyaMimi huyu ambaye ni ‘maskini’ wa JF???
We mbeba box umeyajuaje matatizo ya watanzania...
Umenikumbusha Dr Slaa alivyodai aishi kwa mihogo wakati alikuwa analipwa mshahara sh 7 milioni!
Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].
Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.
Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.
Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.
Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.
Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.
Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?
Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.
Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.
Wakatabahu,
Alhaji N. Ngabu [emoji6].
Nini wanachokula sasa hivi ambacho walikuwa hawakili zamani?
Na wewe maoni yako usingeyaleta kwenye mitandao, ungeyapeleka huko a,mbako umeona hali ni nzuri sana.
Tutafuta Unachama Wako Maana NaonaNimejichanganya wapi? Onyesha.
Umeongea bila fact hata moja ama kweli huu Uzi huu waajabu.
1. Tuambie Lita moja ya petrol ni Tsh ngapi? Kwanini na ina-impact gani kwa maisha ya mtanzania ukizingatia yafuatayo
a) ongezeko la mishahara sambamba na ongezeko la bei ya petrol
Kikwete ilikuwa Tsh ngapi Vs sasa ya Pombe
Mishahara imepanda kwa uwianogani?
Nitakuuliza swali la pili ukijibu hilo
2.
Hivi unaanzisha hizi nyuzi za kifala kwa faida ya nani?
Pengine unafanya kazi Ikulu, utayaonaje ya mitaani?Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].
Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.
Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.
Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.
Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.
Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.
Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?
Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.
Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.
Wakatabahu,
Alhaji N. Ngabu [emoji6].
Jana nimehudhuria harusi diamond jubilee hall , budget mil 120 .
Njaa ipo jf tu
Kwani ukilipwa mshahara wa milioni saba huwezi kula mihogo?
Mbona mihogo ni mitamu sana.
Ushawahi kula mihogo na chai ya maziwa iliyowekewa Milo?
Hahahaa....... Dr Slaa alikuwa analia kabisa kwamba Chadema inamnyanyapaa kwa kumlisha mihogo kama Haji Manara wa Simba wakati yeye alitaka kula bata kama Jerry Muro wa Yanga!Kwani ukilipwa mshahara wa milioni saba huwezi kula mihogo?
Mbona mihogo ni mitamu sana.
Ushawahi kula mihogo na chai ya maziwa iliyowekewa Milo?