linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,734
- 4,395
Acha ukabila wewe.. Haya kaoe wa kwenu afungue danguro nyumbani kwako ...
Mbona Kabila sio issue sanaaaaaaa kuliko tabia,huyo mkeo kwanza hukujua ana tabia gani kabla hujamuoa? au uliangalia Uzuri? na wewe mwenyewe kabila gani?Ndugu zangu nipo kweye wakati mgumu au niseme naisoma namba.ilitokea tatizo hapa juzi kati .me ndo nilikua mwenye kosa .nikakiri kosa nikaomba msamaha, lakini uyu mwenzagu amegoma kunielewa kabisaa. Me kawaida yangu napenda nikikosa naomba samahani hata nikikosewa mtu akiomba samahani namsamehe .lakini uyu mwenzangu (mnyamahanga) ni tofauti kwanza haombi msamaha .saizi nikihacha hela ya kupika nikirudi jioni naikuta vilevile watoto wanalishwa vitu vya kuungaunga yy anachotaka nimpige ili aende anapotaka na mimi simpigi lakini nateseka hapa sjala.maana hajapika lakini nawaza tu endapo ikitokea tukahachana sitaoa wanawake kabila tofauti na langu .
Muhaya huyo ( wahaya wanadharau sana watu wa kuja... Wambali wasio kabila lao huwaita wanyamahangaWe kabila gan?
Sikuachi ng'o... Hata ulete mpango wa kando
Wanyakyusa hawako hvo. Wala hawait waso wa kabila lao wanyamahanga. Tatizo la mkewe analvisha ukabila. Anashndwa kujua hata wa wakabila lake angeweza kuact the same.Atakuwa mnyakyusa huyu.
Njanga eeh?Wanyakyusa hawako hvo. Wala hawait waso wa kabila lao wanyamahanga. Tatizo la mkewe analvisha ukabila. Anashndwa kujua hata wa wakabila lake angeweza kuact the same.
There ur.[emoji7]Njanga eeh?
Nimekuelewa.
Nimekipenda hicho kiemoji, wakiuza bei gani?There ur.[emoji7]
Kwani tabia ya mtu ni kabila.Tabia ni mtu mwenyewe bwana .Ila pole sana huyo anagubu tu maana kama mmeombana msamaha yanatakiwa yaishe .Muulize Mungu asingetusamehe duniani kungesalia kiumbe kweli?Ndugu zangu nipo kweye wakati mgumu au niseme naisoma namba.ilitokea tatizo hapa juzi kati .me ndo nilikua mwenye kosa .nikakiri kosa nikaomba msamaha, lakini uyu mwenzagu amegoma kunielewa kabisaa. Me kawaida yangu napenda nikikosa naomba samahani hata nikikosewa mtu akiomba samahani namsamehe .lakini uyu mwenzangu (mnyamahanga) ni tofauti kwanza haombi msamaha .saizi nikihacha hela ya kupika nikirudi jioni naikuta vilevile watoto wanalishwa vitu vya kuungaunga yy anachotaka nimpige ili aende anapotaka na mimi simpigi lakini nateseka hapa sjala.maana hajapika lakini nawaza tu endapo ikitokea tukahachana sitaoa wanawake kabila tofauti na langu .
Kweli kabisa mtaniMtani wangu "IWE" ni kweli kabisa kuchanganya kabila ktk relationship ni kupotea kidogo. Kwanza utakuwa umechanganya mila na desturi, lakini pia malezi na makuzi, na nyingine mbaya ni swala la imani, bora kidogo itikadi. Lakini nyingine hatari ni watoto wa mijini, hawa hupenda maisha ya kizungu ambayo ukiyaply upcountry hayakubaliki
Hii miji tunakooa mingine unakuta mamamkwe ndiye msemaji na wakati mwingine humnyanyasa baba, lazima binti aharibikiwe kwenye ndoa yake.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hilo tatizo dogo sana linamalizwa na mchepuko mmoja tu
Atakuwa mchaga huyu!Kabila lako ni lipi?