Mkuu mimi sio mshabiki na mbaguzi wa kabila. Ila nimejadili hoja kama ilivyoletwa make hata mleta uzi ameoa kabila tofauti na lake kwangu sio shida.
Shida imekuja kwa kuona kabila lake ni bora na anatamani aachane na mke wake pamoja na mapungufu mengine aliyonayo pia amembagua kisa tu si wa kabila lake(nyamahanga)
Fanya utafiti mdogo tu hapo ulipo. Je, ndoa zote znazovunjika ni wale tu ambao si wa kabila moja?
Je, migogoro mingi ya ndoa inaletwa na ukabila?
Ndoa ni maelewano ya watu wawili BASI hakuna kabila katikati ya makubaliano ya ndoa.
Nimekuelewa vizuri!
Yeye ndio anaishi na huyo dada.Anamjua zaidi ya sisi sote.Huwenda anajua kwa uhakika nini tatizo maana yeye ndio anaucheza mziki kila siku.Kwahiyo anachosema by default ndio sahihi..
Mkuu,takwimu ziko wazi kabisa,wanaooa out of the ethnic groups divorce rates are higher than wale wanaooa with their ethnic groups.Huwezi lipinga hili,sema unafanya makusudi tu.
Ni maelewano ya watu wawili,ila kumbuka jamii yako inayokuzunguka inachukua aisee si chini ya 80%...Utakataa ila ndio ilivyo,societal pressure is a hell of a drug!
Ila mkuu,huwezi bisha kua Kabila lina very very huge influence on how you bahave generally.Ndio maana mkaitwa kabila.Kabila wana close DNA makeups,influences you the way you talk,behave,the way you think,etc..Usibishe.Ndio maana kuna chance kubwa sana unions za same ethnic groups kufanikiwa kuliko inter-ethnic ones.Sio kwamba ni successful kila wakati,ni kua kuna a possible chance somehow!
Na kuhusu kuita wa nje ya kabila lako jina sio ishu,sio neccesarily ni tusi.Waisrael wanaita non-Israelites gentiles,wachagga tunaita kyasaka,hao wahaya wanaita Nyamahanga,hata nyie kabila lako lina jina...Tatizo mnafikiria negative connotations ya haya majina,wala sio.Ni perception tu.
Lakini to me,hakuna highest order of betrayal to your own people kwa mwanaume kuacha kuoa dada zake na kwenda kuoa competitors wake.Hakuna sababu ya msingi utakayonipa nikuelewe,hata kidogo!Wanawake wenu wanaweza olewa anywhere,no problem,ila mwanaume tunaekutegemea uendelezee jamii yetu ndio wa kwanza kuiharibu?Jesus
Hivi nikuulize wewe unaona sawa tu kuona kabila lako say Wagogo wana-perish na kua asimillated 100% na another tribe?Nyie ndio mtakuja kuuza nchi one day!