Najuta kwanini sikuoa mke wa kabila langu

Najuta kwanini sikuoa mke wa kabila langu

inawezekana unapata wa kabila lako tabia ikawa mbaya zaidi kupita uyo ,kila mtu na tabia zake.malezi tofauti ,mazingira ya kukulia tofauti,mnakutana tu ukubwani,,mvumilie
 
Kabila halina relation na tabia ya mtu. Nadhan huyo mwenzio mmepishana tabia, kabila lake has nothing to do with you.
Hapo mlipofika nahisi mwenzio hakutaki kabisa, pia angalia umemkosea makosa gani maana kuna mengine si madogo.

Kaa nae chini for the last time umuulize tu whats wrong. Anataka nn anahitaji nn.
Msikilize then take action from there
 
Uzuri nilikua naibia tuition ya kupika kwa Bi mkubwa sidhani kama mwanamke atanizingua, Sababu kazi zote za nyumbani naweza isipokuwa kutengeneza kuku na vitumbua.
 
sasa hapo shida ni kabila mkuuu"" au tabia tu ya mtu"" mimi nilidhani mkeo anakuletea mwanaume wa kabila lake ndani na kuanza kuongea nae lugha ya kwao """
kumbe shida ndio iko hivyo "" you are mistaken ndugu ""means watu wote wanaoleta kero zao za mahusiano humu "" wameoa/olewa na watu ambao sio pacha wa makabila yao""


wewe pambana na hali yako tu "" ikibidi kama unaweza kumuacha umuache tu""
We ni wa kupimwa mkojo haha sio kwa kunchekesha uku
 
Tafuta wazee mkae kikao muyaweke sawa
Spendagi mambo ya ndani kuyatoa nje. JF napataga msaada wa mawazo uwa yananisaidia sana ndo maana hata naogopa kuachwa maana nawaza jamii ilinizunguka itaniona vip maana hawajawahi sikia tunagombana.bora wao wanagombana kila siku lakini hawahachani
 
Sasa hapo kabila linahusika vip? acheni kufanya tabia ya mtu kua kabila
 
Spendagi mambo ya ndani kuyatoa nje. JF napataga msaada wa mawazo uwa yananisaidia sana ndo maana hata naogopa kuachwa maana nawaza jamii ilinizunguka itaniona vip maana hawajawahi sikia tunagombana.bora wao wanagombana kila siku lakini hawahachani
Yaan namaanisha hata hao watu watakaokuja kuwasuluhisha ni watu wa karibu yenu na mnawaamini
 
Spendagi mambo ya ndani kuyatoa nje. JF napataga msaada wa mawazo uwa yananisaidia sana ndo maana hata naogopa kuachwa maana nawaza jamii ilinizunguka itaniona vip maana hawajawahi sikia tunagombana.bora wao wanagombana kila siku lakini hawahachani
Mtani wangu "IWE" ni kweli kabisa kuchanganya kabila ktk relationship ni kupotea kidogo. Kwanza utakuwa umechanganya mila na desturi, lakini pia malezi na makuzi, na nyingine mbaya ni swala la imani, bora kidogo itikadi. Lakini nyingine hatari ni watoto wa mijini, hawa hupenda maisha ya kizungu ambayo ukiyaply upcountry hayakubaliki

Hii miji tunakooa mingine unakuta mamamkwe ndiye msemaji na wakati mwingine humnyanyasa baba, lazima binti aharibikiwe kwenye ndoa yake.
 
Ndugu zangu nipo kweye wakati mgumu au niseme naisoma namba.ilitokea tatizo hapa juzi kati .me ndo nilikua mwenye kosa .nikakiri kosa nikaomba msamaha, lakini uyu mwenzagu amegoma kunielewa kabisaa. Me kawaida yangu napenda nikikosa naomba samahani hata nikikosewa mtu akiomba samahani namsamehe .lakini uyu mwenzangu (mnyamahanga) ni tofauti kwanza haombi msamaha .saizi nikihacha hela ya kupika nikirudi jioni naikuta vilevile watoto wanalishwa vitu vya kuungaunga yy anachotaka nimpige ili aende anapotaka na mimi simpigi lakini nateseka hapa sjala.maana hajapika lakini nawaza tu endapo ikitokea tukahachana sitaoa wanawake kabila tofauti na langu .
Inawezekana kabila lako ndo kimeo zaidi...
 
Back
Top Bottom