Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
Kwenye mahusiano hakuna cha kabila ni kumuomba tu Mungu akupe wa kuendana nae, jaribu kushirikisha wazazi wa pande zote mbili.
Mkuu,kuomba "Mungu"???!!!
Na wanao omba mungu na bado wanapata ndoa mbaya utasemaje?Mungu alijisahau?
Hii mambo ya kumsingizia Mungu (if he even exists?) kila kitu ni si sawa.
Ikibuma imebuma,ikitiki imetiki mkuu!
Kuna wanaosali mpaka magoti yanakatika na they are good people,ila kila siku wanapata wenza vichaa kabisa!
Mi nadhani ni instincts,na akili yako yote katika kustukia hivi vitu,kwa bahati mbaya ikiwa mbaya sio ajabu.Na cha ajabu highest percentage ya haya mahusiano yetu hua si mazuri anyways!
Kabila ni determinant,whether u like or not..Maana tunaangalia hapa closeness biologically na culturally.Sio kwamba ni SOLE determinant,ni just ONE of them,should not be ignored.
Watu mnashindwa kuelewa Ulaya kila nchi ni homogenius as it gets,maana zile nchi zilitokea naturally,sio kama huku kwetu wakoloni walipasulia tu..Kwa kifupi ni kua nchi za Ulaya mostly unakuta kila nchi na kabila lake.Kwa mfano hapa TZ kila mkoa ni wazi inatakiwa iwe nchi independent.
Ila sikatai nyie mnaopenda Assimilation,kabila moja limezwe na lingine,hamuoni tatizo.Well,kuna sie wengine tunaona tatizo!Haina shida ni team mbili,sio mbaya tukawa wapinzani wa jadi na wala sio ukabila!