Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,206
Ndugu zangu,
Nipo kweye wakati mgumu au niseme naisoma namba.Ilitokea tatizo hapa juzi kati na mimi ndo nilikuwa mwenye kosa. Nikakiri kosa nikaomba msamaha, lakini huyu mwenzagu amegoma kunielewa kabisaa.
Mimi kawaida yangu napenda nikikosa naomba samahani hata nikikosewa mtu akiomba samahani namsamehe, lakini huyu mwenzangu ni tofauti kwanza haombi msamaha.
Hivi sasa nikiacha hela ya kupika nikirudi jioni naikuta vilevile. Watoto wanalishwa vitu vya kuungaunga yeye anachotaka nimpige ili aende anapotaka na mimi simpigi lakini nateseka hapa sijala maana hajapika lakini nawaza tu endapo ikitokea tukaachana sitaoa wanawake kabila tofauti na langu.