Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,152
- 7,423
Umejaribu katerelo?
Ndugu zangu nipo kweye wakati mgumu au niseme naisoma namba.ilitokea tatizo hapa juzi kati .me ndo nilikua mwenye kosa .nikakiri kosa nikaomba msamaha, lakini uyu mwenzagu amegoma kunielewa kabisaa. Me kawaida yangu napenda nikikosa naomba samahani hata nikikosewa mtu akiomba samahani namsamehe .lakini uyu mwenzangu (mnyamahanga) ni tofauti kwanza haombi msamaha .saizi nikihacha hela ya kupika nikirudi jioni naikuta vilevile watoto wanalishwa vitu vya kuungaunga yy anachotaka nimpige ili aende anapotaka na mimi simpigi lakini nateseka hapa sjala.maana hajapika lakini nawaza tu endapo ikitokea tukahachana sitaoa wanawake kabila tofauti na langu .
Tayari wana watoto bi mkubwa [emoji85]uhoe tu kabila lako mwaya
Mkishindwana kuachana pia kumeruhusiwaTayari wana watoto bi mkubwa [emoji85]
Kwa watu wa kwetu wanaamini ukikosana na mkeo, usiku huo usipite uwe umepata ndoa hata kwa Ku apply force kidogo, unajuwa haki hiyo husuluhisha hizi tofauti ndogo ndogo
U mzima dadangu?Mkishindwana kuachana pia kumeruhusiwa
mie mzima my kaka wifi yangu hajamboU mzima dadangu?
Muhaya uyo ndo wanaita watu wa kabila jingine "wanyamahanga"We kabila gan?
Moja ya makabila ya hovyo kabisa kuoa ni wanyakyusa,ni washamba wanaojiduania wajanja,dhaifu wanaojidhania imara,Atakuwa mnyakyusa huyu.
Kuna watu huwa mnajifanya kujua makabila ya watu kuliko ya kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moja ya makabila ya hovyo kabisa kuoa ni wanyakyusa,ni washamba wanaojiduania wajanja,dhaifu wanaojidhania imara,
Mbumbumbu wanaojidai wajuaji,
Kifupi hawa wanatakiwa waoane wao kwa wao,
Wanaume wa knyakyusa hawana matatizo kihiiiivyo,
Lkn wanawake ni timing bombs,km unae utanibishia Leo lakini ipo siku utakumbuka hili,labda Mungu aamue kukupa yy anaweza kumfanya atulie,
Subiri mchume Mali Na watoto wakue utamjua
Ni kweli kabisainasemekana ndoa za kabila moja huwa zinadumu sana kulinganisha na makabila tofauti... japo sina uhakika kama ni kweli