Najuta kwanini sikuoa mke wa kabila langu

Najuta kwanini sikuoa mke wa kabila langu

Yani hapa ndipo hua naamini penye miti hapana wajenzi..ongea na mshenga kuhusu tabia ya hyo mkeo..asipojirekebisha ndio shifa sasa..ila pole
Siku izi kuna washenga mkuu ? Tnakutana ki toun toun tnamalizana wenyewe
 
Ndugu zangu nipo kweye wakati mgumu au niseme naisoma namba. Ilitokea tatizo hapa juzi kati na mimi ndo nilikuwa mwenye kosa. Nikakiri kosa nikaomba msamaha, lakini huyu mwenzagu amegoma kunielewa kabisaa.

Mimi kawaida yangu napenda nikikosa naomba samahani hata nikikosewa mtu akiomba samahani namsamehe, lakini huyu mwenzangu (Mnyamahanga) ni tofauti kwanza haombi msamaha.

Hivi sasa nikiacha hela ya kupika nikirudi jioni naikuta vilevile. Watoto wanalishwa vitu vya kuungaunga yeye anachotaka nimpige ili aende anapotaka na mimi simpigi lakini nateseka hapa sijala maana hajapika lakini nawaza tu endapo ikitokea tukaachana sitaoa wanawake kabila tofauti na langu.
Sasa kama anataka umpige kwa nini humpigi? We nae hamna na huenda we ndo tatizo umesababisha yote hayo
 
inasemekana ndoa za kabila moja huwa zinadumu sana kulinganisha na makabila tofauti... japo sina uhakika kama ni kweli
Ni kweli kwa sababu mnakuwa na mils na desturi za kufanana ila kabila tofauti mtatofautiana vitu vingi........chukulia mfano mi msukuma nioe Mmakonde ambae hajui hata kupiga magoti nikimpeleka kwetu anaweza asipige magoti wakati anasalimia au kutenga chakula watu wakimuona lazima waanze kumsema na kumtoa kasoro shida ndo itaanzia hapo
 
Ndugu zangu nipo kweye wakati mgumu au niseme naisoma namba. Ilitokea tatizo hapa juzi kati na mimi ndo nilikuwa mwenye kosa. Nikakiri kosa nikaomba msamaha, lakini huyu mwenzagu amegoma kunielewa kabisaa.

Mimi kawaida yangu napenda nikikosa naomba samahani hata nikikosewa mtu akiomba samahani namsamehe, lakini huyu mwenzangu (Mnyamahanga) ni tofauti kwanza haombi msamaha.

Hivi sasa nikiacha hela ya kupika nikirudi jioni naikuta vilevile. Watoto wanalishwa vitu vya kuungaunga yeye anachotaka nimpige ili aende anapotaka na mimi simpigi lakini nateseka hapa sijala maana hajapika lakini nawaza tu endapo ikitokea tukaachana sitaoa wanawake kabila tofauti na langu.



Im sorry

Hua nashindwa kuelewa inakuaje mtu unaacha kabila lako lililokuzaa na kukulea unaenda oa kabila lingine kabisa?

Dada zako nani awaoe sasa kama sio kukimbia majukumu kwenye jamii yako?

Ni upuuzi na ulimbukeni mbaya sana!

Quality of a man is determined by his everlasting commitment to his own society and can only be shown by marrying his own kind!

Thats the truth!
 
Nshomile bana,nenda kaoe wenzako pale maarufu kama kwa Wahaya,wanakusubiri hao wa kabila lako.
 
Nakubaliana nawe kwa 75%, kama asipokuwa kabila lako basi awe wa kabila rafiki (watani) apo afadhali. Hii kitu ina maana kubwa sana basi tu utandawazi unatuzidi nguvu.
 
sasa hapo shida ni kabila mkuuu"" au tabia tu ya mtu"" mimi nilidhani mkeo anakuletea mwanaume wa kabila lake ndani na kuanza kuongea nae lugha ya kwao """
kumbe shida ndio iko hivyo "" you are mistaken ndugu ""means watu wote wanaoleta kero zao za mahusiano humu "" wameoa/olewa na watu ambao sio pacha wa makabila yao""


wewe pambana na hali yako tu "" ikibidi kama unaweza kumuacha umuache tu""



Huu ni uongo unaosema mkuu!

Kuna reason kukawa na hilo kabila,halijatokea tu!

Jamii inayokuzunguka ina play part kubwa kwenye outcome ya adult life!Sasa,kua kabila halina nguvu /influence juu yako ni incorrect au upo misinformed!

Pia elewa mostly DNA markers za watu wa kabila moja zinashabihiana at some level,hii ni scientific proven,sasa wewe sijui unaongea vitu gani!


Ndio maana makabila yana phenotypic ressemblances pamoja na DNA make up zao!Sasa haya unayosemea ni upuuzi tu wa kijamii ambao hauna scientific backing up!
 
Back
Top Bottom