Najuta kujiunga na jeshi la polisi

Najuta kujiunga na jeshi la polisi

mwalimu anatoka kazini saa 9 na nusu jioni kama wafanyakaz wengne tu wa serikali. ni uhuru gan huo unaosema mwalimu anaupata ukilinganisha na waajiriwa wengne wa serikali?
Uhuru ni mkubwa, imagine shule za Dsm, Arusha, Mbeya na mikoa mingine ina waalimu 70, somo moja lina waalimu 6, ukaguzi haufanyingi for long period
Hlf excuses za Mwl. ni nyingi na km ni wa serikalini ni gumu kusikia amecgukuliwa hatua sheikh

Kuna Mwl. ana bishara kubwa tu na ipo busy Sinza na Temeke na muda mwingi yupo kwny biashara zake...polisi hawezi
 
Uhuru ni mkubwa, imagine shule za Dsm, Arusha, Mbeya na mikoa mingine ina waalimu 70, somo moja lina waalimu 6, ukaguzi haufanyingi for long period
Hlf excuses za Mwl. ni nyingi na km ni wa serikalini ni gumu kusikia amecgukuliwa hatua sheikh

Kuna Mwl. ana bishara kubwa tu na ipo busy Sinza na Temeke na muda mwingi yupo kwny biashara zake...polisi hawezi
Mkuu uko sawa kabisa, mwalimu ana gaps nyingi za uhuru... siku huna kipindi unaenda zako kazini asubuhi una sign unaenda zako mishe... mara nyingine una kipindi kimoja, unamwomba mwalimu mwenzio aku-sainie then unamtumia kazi ya wanafunzi WhatsApp awape wanaifanya anawasimamia wanakusanya, siku inaisha... Scenarios kama hizo ni ngumu kwa askari
 
Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona

Ama kweli najuta kuwa polisi
Binafsi Huwa nikipita hapo salender bridge, mataa ya moroko, uhasibu, mission , kwa Aziz ally e.t.c

Nakuta askari kasimama na BUNDUKI juani kikakamavu sana.. kwa kweli binafsi nikijitafakari naona ni lazima uwe na upungufu wa AKILI/ ka mtindio kidogo au uwe unakunywa pombeee au BANGI kufubaza ubongo kiasi ila ukiwa mentally fit huwezi Fanya iyo kazii.

NB. Nikiwa mdogo kutokana na KUANGALIA movie za kivita nikawa nimevutiwa na KAZI ya u bodyguard siku moja

Nikiwa nacheza ma wenzangu baba alipita akakuta Nina igiza kama bodyguard wa raisi..mzee akaniita akasema badala ya wewe ndio uwe raisi unachagua kua bodyguard/ askari wa kulinda akanisema sana Huku amekasilika sanaa tangu siku iyo nilijifunza na mpaka Sasa nimepata mtazamo mpya juu ya hiyo kazi for sure.. Mimi kwa akili zangu siwezi kabisa
 
Hela ya rushwa uipeleke nyumbani ukale na mke na watoto wako ni haramu na najisi Sheikh,

Sio bure watoto wa Mapolisi huwa hawafiki mbali...wanaharibika kwa kuwa wavuta bangi au Malaya
Ni kweli.

Namjua polisi mmoja mstaafu mtoto wake wa kiume ni mabangi mbaya, halafu mtoto wake wa kike ni malaya haswa.
 
Back
Top Bottom