Najuta kujiunga na jeshi la polisi

Najuta kujiunga na jeshi la polisi

Ushirikina, kurogana huko,kuchongeana kwa wakubwa, Uchawa
Mie kama ni kuwa Mtumishi wa serikali ningependa kuwa Mwalimu au Mkandarasi kwasababu ya uhuru wa kufanya mambo mengine

Ila hizi za jeshi na Usalama hapana, unaweza usilale hata wiki nzima🤣
 
Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona

Ama kweli najuta kuwa polisi
Acha utapeli hakuna polisi lofa km wewe, wenzio wanasema wataingiaje huko! Km ni kwl ulishindwa nini kumwaga wino badala ya kuja kubwabwaja humu. Andika barua ya kuacha kazi na tuwekee nakala humu!
 
Sio kweli, namjua captain mmoja aliacha japo ilikuwa kwa mbinde sanaa hadi wanakuja kubali. Akaanza biashara zake na sasa hivi ni ana mawe ya hatari . Usiache kwa visa na mikasa,
Hakika, na mara nyingi askari wakiachaga mtaani huchekewha kidogo tu pwaaaa
 
Back
Top Bottom