Awe polisi mwemah kwahiyo akipewa amri na mkuu wa kazi ya kuonea watu akatae auMtaani kuna chuki kwa sababu ya tabia zenu wenyewe. Kuwa polisi mwema ubadili hiyo negative perception.
Wengi wao wapo hvyoPolice ni kazi nzuri ya kutoa huduma Kwa watu na police ni rafiki wa raia wema
Ila huku Tanzagiza polisi ni gaidi na katili
HahahaBado mgeni wa kazi ukizoea utaipenda tu, hukosi hela ya rushwa mshahara utakaa bank tu.
Mzee upo serious sanaHaya ni matokeo ya nchi kuongozwa na mwanamke tena muislamu...mambo yanakuwa ya kianithi tu
Bora wewe umejitambua ndani ya nyumba yangu atakae chukua uelekeo huo na uli wa siasa chafu za ccm namkana na kamwe tusijuane!Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
Kwamba wote huwa wanapewa maagizo ya aina hii?Awe polisi mwemah kwahiyo akipewa amri na mkuu wa kazi ya kuonea watu akatae au
Nahisi ndio maana mtoa mada anailaani kazi ya upolisiKwamba wote huwa wanapewa maagizo ya aina hii?
Hilo tatizo sasa!Nahisi ndio maana mtoa mada anailaani kazi ya upolisi
Nawaonea huruma tu maana shida ni mfumo ndio mbovu ukiwa mzuri wataenjoy kazi ya upolisi ni kazi nzuri sana kwenye makaratasiHilo tatizo sasa!
Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
Nina scenario mbili za haya mambo ya jeshi yananitatiza nashindwa kuelewaHivi kwani ukikimbia jeshi ukatokomea vijijini miaka 5 wanakusaka?
Sawa kakaDogo acha pombe.
Upo sahihi kabisaNina scenario mbili za haya mambo ya jeshi yananitatiza nashindwa kuelewa
Scenario ya kwanza, nina mshkaji nilisoma nae Chuo. Tulivyomaliza chuo( enzi za Jk) mimi niliajiriwa Serikalini but yule mshakaji akaenda jeshi... Akafanya kazi jeshini karibu miaka nane baadae akaja kuacha, kwa kipindi chote hicho hatukuwahi kuonana ila tulikua tunawasiliana tu kwa simu.. Siku moja nimesafiri nimeenda mkoa flani hivi kufanya harakati zangu, nikakutana nae face to face na hapo ndo akaniambia kwamba alishaacha kazi jeshini...
Akaniambia "Aisee jeshini ni usenge mtupu, kila siku kutumwa tumwa tu kama mtoto na hauwezi ku-settle kabisa.. Mara umepelekwa Mwanza, baada ya miezi miwili unapelekwa sijui Lindi, Bukoba.. Huwezi uka-settle maisha yako na familia... Niliona ni upuuzi, siku moja niliamka asubuhi sana nikakusanya magwanda na mazagazaga yao yote nikayaweka kwenye begi nikayaacha pale pale kambini nikatoroka zangu... Mpaka leo hakuna anaejua niko wapi"
Nikamuuliza kwani kuacha jeshi ni kosa mpaka utoroke na usijulikane uliko, jamaa akanijibu "siwezi kukuelezea kiundani lakini ila jeshi ukiacha lazima wakuletee matatizo"
Scenario nyingine mshikaji mwengine namfahamu tena huyu natoka nae mtaa mmoja na tumekua wote... Huyu mshakaji pia alikua mjeshi akaja kuacha, akaanza kuafanya biashara na kilimo... From no where siku moja akakutwa shambani kwake amekufa.. Yaani amemuaga mke wake anaenda shambani, baadae hakurudi nyumbani ndipo wakamkuta shambani amefariki.
Haya matukio mawili huwa yananifikirisha sometimes.