Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 3,561
- 4,537
Na ole wake akiombwa akatae. Hakuna rangi ataacha kuona hapo kituoni.Na rafiki yangu polisi ali nunua piki piki yani haendi nayo kazini ana i paki mbali na kituo chake ana hofia kuombwa ombwa na wakubwa afu hawa changii mafuta