Najuta kujiunga na jeshi la polisi

Najuta kujiunga na jeshi la polisi

Nina scenario mbili za haya mambo ya jeshi yananitatiza nashindwa kuelewa

Scenario ya kwanza, nina mshkaji nilisoma nae Chuo. Tulivyomaliza chuo( enzi za Jk) mimi niliajiriwa Serikalini but yule mshakaji akaenda jeshi... Akafanya kazi jeshini karibu miaka nane baadae akaja kuacha, kwa kipindi chote hicho hatukuwahi kuonana ila tulikua tunawasiliana tu kwa simu.. Siku moja nimesafiri nimeenda mkoa flani hivi kufanya harakati zangu, nikakutana nae face to face na hapo ndo akaniambia kwamba alishaacha kazi jeshini...

Akaniambia "Aisee jeshini ni usenge mtupu, kila siku kutumwa tumwa tu kama mtoto na hauwezi ku-settle kabisa.. Mara umepelekwa Mwanza, baada ya miezi miwili unapelekwa sijui Lindi, Bukoba.. Huwezi uka-settle maisha yako na familia... Niliona ni upuuzi, siku moja niliamka asubuhi sana nikakusanya magwanda na mazagazaga yao yote nikayaweka kwenye begi nikayaacha pale pale kambini nikatoroka zangu... Mpaka leo hakuna anaejua niko wapi"

Nikamuuliza kwani kuacha jeshi ni kosa mpaka utoroke na usijulikane uliko, jamaa akanijibu "siwezi kukuelezea kiundani lakini ila jeshi ukiacha lazima wakuletee matatizo"

Scenario nyingine mshikaji mwengine namfahamu tena huyu natoka nae mtaa mmoja na tumekua wote... Huyu mshakaji pia alikua mjeshi akaja kuacha, akaanza kuafanya biashara na kilimo... From no where siku moja akakutwa shambani kwake amekufa.. Yaani amemuaga mke wake anaenda shambani, baadae hakurudi nyumbani ndipo wakamkuta shambani amefariki.

Haya matukio mawili huwa yananifikirisha sometimes.
Basi itakuwa huwa kuna kiapo sio bure jeshi wakuzuie kutoka... Ndio maana mafunzo yake ni ya moto ili kama ujue kabisa mapema kuhepa kabla hujawa mjeshi kamili
 
Ndugu yangu ambaye ni askari Polisi yupo UN mwaka wa pili sasa akihudumu kama POLICE ADVISOR kwenye maswala kadhaa....
Kazi ambayo inakupa exposure na heshima za kimataifa ni mbaya! Acha kushikiwa akili, mtu akikuchukia na kukudharau kisa kazi yako hana atakachokupunguzia yeye si Mungu
 
;Na baadhi ya askari wakamwuliza, “Na sisi je, tufanye nini?” Akawajibu: “Msichukue fedha za watu kwa kutumia nguvu; msiwashtaki watu kwa kuwasingizia makosa; bali mtosheke na mishahara yenu!”
 
Nina scenario mbili za haya mambo ya jeshi yananitatiza nashindwa kuelewa

Scenario ya kwanza, nina mshkaji nilisoma nae Chuo. Tulivyomaliza chuo( enzi za Jk) mimi niliajiriwa Serikalini but yule mshakaji akaenda jeshi... Akafanya kazi jeshini karibu miaka nane baadae akaja kuacha, kwa kipindi chote hicho hatukuwahi kuonana ila tulikua tunawasiliana tu kwa simu.. Siku moja nimesafiri nimeenda mkoa flani hivi kufanya harakati zangu, nikakutana nae face to face na hapo ndo akaniambia kwamba alishaacha kazi jeshini...

Akaniambia "Aisee jeshini ni usenge mtupu, kila siku kutumwa tumwa tu kama mtoto na hauwezi ku-settle kabisa.. Mara umepelekwa Mwanza, baada ya miezi miwili unapelekwa sijui Lindi, Bukoba.. Huwezi uka-settle maisha yako na familia... Niliona ni upuuzi, siku moja niliamka asubuhi sana nikakusanya magwanda na mazagazaga yao yote nikayaweka kwenye begi nikayaacha pale pale kambini nikatoroka zangu... Mpaka leo hakuna anaejua niko wapi"

Nikamuuliza kwani kuacha jeshi ni kosa mpaka utoroke na usijulikane uliko, jamaa akanijibu "siwezi kukuelezea kiundani lakini ila jeshi ukiacha lazima wakuletee matatizo"

Scenario nyingine mshikaji mwengine namfahamu tena huyu natoka nae mtaa mmoja na tumekua wote... Huyu mshakaji pia alikua mjeshi akaja kuacha, akaanza kuafanya biashara na kilimo... From no where siku moja akakutwa shambani kwake amekufa.. Yaani amemuaga mke wake anaenda shambani, baadae hakurudi nyumbani ndipo wakamkuta shambani amefariki.

Haya matukio mawili huwa yananifikirisha sometimes.
Inategemea na nafasi/ cheo ulichofikia na umeshafahamu mangapi
 
Na rafiki yangu polisi ali nunua piki piki yani haendi nayo kazini ana i paki mbali na kituo chake ana hofia kuombwa ombwa na wakubwa afu hawa changii mafuta
 
Back
Top Bottom