Najuta kujiunga na jeshi la polisi

Najuta kujiunga na jeshi la polisi

Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona

Ama kweli najuta kuwa polisi
Pole afande. Kazi ya Upolisi ni kazi njema ikitekelezwa vyema. Kuna mahali nilisoma (Bible ) Askari walimwuliza ...... naye akawajibu “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara
 
Ushirikina, kurogana huko,kuchongeana kwa wakubwa, Uchawa
Mie kama ni kuwa Mtumishi wa serikali ningependa kuwa Mwalimu au Mkandarasi kwasababu ya uhuru wa kufanya mambo mengine

Ila hizi za jeshi na Usalama hapana, unaweza usilale hata wiki nzima🤣
Mifumo ikiwekwa sawa wataenjoy maisha ila kwa sasa kazini kwao kuna kazi nzito!
 
Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona

Ama kweli najuta kuwa polisi
Dhambi yenu kubwa ni pale mnaposaidia kikundi cha majizi, mafisadi, wahuni, kuiba uchaguzi na kushinda kinyume na matakwa ya umma.

Halafu mnashiriki kuua wazalendo wanaojitoa muhanga kukomboa nchi kutoka kwa makucha ya kikundi cha Wahuni
 
Back
Top Bottom