Najuta kujiunga na jeshi la polisi

Najuta kujiunga na jeshi la polisi

Ushirikina, kurogana huko,kuchongeana kwa wakubwa, Uchawa
Mie kama ni kuwa Mtumishi wa serikali ningependa kuwa Mwalimu au Mkandarasi kwasababu ya uhuru wa kufanya mambo mengine

Ila hizi za jeshi na Usalama hapana, unaweza usilale hata wiki nzima🤣
mwalimu anatoka kazini saa 9 na nusu jioni kama wafanyakaz wengne tu wa serikali. ni uhuru gan huo unaosema mwalimu anaupata ukilinganisha na waajiriwa wengne wa serikali?
 
Back
Top Bottom