Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Hhha hapa mie ni balozi wao...nawasemea ni kweli tupu..kweli kbs![emoji3531][emoji3531][emoji3531]! Alafu hawaoni shida kumpa mwanamke wake hela...wale warefi Sasa mnashindana na mwanamke kudanga upewe hela...kitu kitongaaaa[emoji854]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Eti wale warefu mnashindana na mwanamke kudanga.
 
We nahis hua unanifananisha. ...btw zigo bila pesa si uchafu huo mkuu!!
Mwanamke ukiwa na zigo hakikisha u r financial stable... Sio unazigo unapigania daladala😔
Ukose hela ukose na zigo si utakoma? Kuna picha yako uliweka kwa profile kipindi fulani ndio nikajua unao uzima wa milele 😊nilikuona kwa mbele tu lakini nilijua yaliyomo nyuma
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Kwasababu mara nyingi kipindi cha utafutaji huwa tunakuwa na supply ya kutosha ya papuchi hali inayopelekea kupuuza kutafuta hela..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tunakujaga kuichora chini baadae.. Yani when its too late

So ukijijua upo na mvuto kwa ma manzi inatakiwa ujue kuna muda utafika pesa itakuwa ni ya muhimu zaidi kwao kuliko u handsome.. Hii kitu inatakiwa tujue ili tuwe tunawakula huku tunajiwekea mikakati ya mikiliki doo
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Hao watakuwa mahandsome wa Chadema, njoo Ccm ukutane na vipanga wenye pesa ndefu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]...+mie weusi na uwe na mikono ya misuli+ndevu za kutosha na migadenlov[emoji28][emoji28]...nakosaga neno..ntaongea Nini Sasa hapo!?sijui unanimanya!...yaan muda wowote hata ukipata chembe ya Moto unaweza nyanyuliwa nduki mgongoni[emoji28][emoji28]

Mwanaume mwenye hela automatic anakufanya ukose kujishongondoa..simu zake zootw ni zamaana tu ..Mara apigiwe simu na madalali kuhusu viwanja...Mara apigiwe simu na benk kumkumbushia check yake Mara aambiwe kesho kutwa Kuna semina Njombe ...yaan Hakawii kukuamnia twende kibaha kuchek kiwanja ukanishauri...Sasa uje kwa ndugu zangu na mimi wale wengine ..akijua mwanamke anahela utasifiwa had kuchwe...kazi kunywa tu na kuparty..ukimchungulia simu yake anabet [emoji21][emoji21]...chini kavaa Raba nyeupeeeeeeeee utadhani ni form six leaver....pyeee...na kipensi kifupi anashindana na Wangari kuonesha mapaja[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]! Ukienda washrooma jamaa unamkuta anajitizama kwa kioo[emoji1732]Deals zake Sasa...za kuunga unga unga Sana had kero..mechi zote analazimisha mchek[emoji57][emoji17]! Oh hapana Asante jamani bye!
Huhuuhuu [emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787]

Ukweli mweupe bila kupepesa
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Mwanaume Handsome akiwa na pesa lazima afe mapema,maana hakuna piece yoyote akiitokea inaweza kataa,japo kua kuna baadhi ya Wanaume wabaya na wana pesa lakini baadhi ya piece zinawachomolea haziwataki!!
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Akili zao zipo kwenye sura zao ni kama wadada wenye makalio makubwa ambao akili zao zipo kwenye makalio. Kwa namna hiyo maarifa ya kutafuta pesa ni zero
 
Back
Top Bottom