MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,348
- 11,228
CCM wanajua katiba mpya inaweza kuwa kaburi lao, hawawezi kuikubali kirahisiNdio maana kuna umuhimu wa kupata Katiba mpya itakayohakisha kunakuwa na checks and balances imara kati ya mihimili mitatu