Najiuliza kama Spika aliapa kuilinda na kuitetea Katiba, kwanini anaivunja?

Shein ni Muislamu.
Hussein Mwinyi ni Muislamu.
Majaliwa ni Muislamu.
Kova ni Muislamu
Kikwete ni Muislamu
Wakristo mara nyingi wakiapa hawamaanishi, muda mwingi hunyanyua biblia zao juu kuapa, wakimaliza wanakanyaga viapo vyao vibaya Sana.Ndugai Ni mfano tu mmojawapo.Aliapa kuilinda, kuitetea na kuitii katiba, lakini kinachoendelea Ni maasi matupu.Kwa hapa nawapongeza waislamu wanajitaidi kuheshimu viapo vyao
 
Juzi kati.kuna mlevi.mmoja alisikika akisema viongozi wenginwaktisto wanakufa kwa sababu wanaapa kuilinda katiba kwa kutumia biblia takatifu wakati hawailindi kama Speaker.Lazima.Mungu awaadhibu tu Mark my word
 
Ndio maana kuna umuhimu wa kupata Katiba mpya itakayohakisha kunakuwa na checks and balances imara kati ya mihimili mitatu
Mkuu katiba na sheria zinawekwa ili kuzuia "tabia za asili za kibinadamu"; ukatili, ubabe, uonevu etc na ili zifanye kazi sawasawa lazima kuwe na kujiheshimu hasa hasa kwa watu wanaopaswa kuzisimamia. Maana kama Executive inashirikiana na Legislature kutojiheshimu na kuvunja sheria na katiba huku wakisingizia technicalities, ni ngumu kuwawajibisha. Hata tukienda mahakamani, tunaenda kukutana na Jaji Feleshi na Biswalo au yule aliyewafutia dhamana kina Mbowe akapewa zawadi ya ujaji, matatizo matupu.

Tusivunjike mioyo, Mungu anazidi kufunua uhalisia wao, Watanzania wamewakataa ndio maana uchaguzi uliopita walitumia nguvu nyingi ili uchaguzi usifanyike, wapitishwe tu na Tume
 
Uongo mtupu.
Paul Biya ni dikteta wa Cameroon na yupo madarakani kwa miaka 30
Kuna kina Museveni, Mugabe, Kagame, n.k
majanga na vifo vingi vinavyowafika wanasiasa ni viapo vyao kumuhaidi Mungu, na baadae kwenda kinyume navyo,
Hata dikteta wa chattle kiapo kimefupisha utawala wake ,

Na siku wakija kuligundua ili, hawatoapa kwa vitabu vya Mungu
 
Mbona Museveni, Kagame, Paul Biya, Mugabe wamezeekea madarakani??
Juzi kati.kuna mlevi.mmoja alisikika akisema viongozi wenginwaktisto wanakufa kwa sababu wanaapa kuilinda katiba kwa kutumia biblia takatifu wakati hawailindi kama Speaker.Lazima.Mungu awaadhibu tu Mark my word
 
Mbowe aliapa kanisani kuwa na mke mmoja mbona alivunja kiapo

Ki-yehodaya hodaya umepatia karibu itaita nyau nyau
 
I agree with you too Sir.

Mimi binafsi I believe there is a deity, something that created the universe, created laws to govern the universe lakini sio huyu anaeelezewa kwenye biblia ama quran, that is a monster.
Mkuu kama hauamini kwambo Mungu anaelezwa kwenye bible is creator of the universe.
Ok its fine ni Mungu yupi Aliyefanya yote haya
 
WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI wote WALIOAPA Kuitii, Kuiheshimu na Kuitetea KATIBA.

Katika UTAWALA wa AWAMU ya PILI kulikuwa na UVUNJIFU wa KATIBA lakini Hayati BABA Wa TAIFA Hakusita KUUKEMEA. Leo Wote Watanzania ni Mashahidi hakuna AWAMU iliyochezea KATIBA ya NCHI kama AWAMU ya TANO.

Tumeshuhudia SHERIA Katili na Kandamizi Zikitungwa na Zikipitishwa Kama za Kujiwekea KINGA kwa baadhi ya VIONGOZI wetu, Sheria za Vyombo vya Habari, Vyama vya Siasa, Tume ya Uchaguzi Dhamanan.k.

Isitoshe tumeshuhudia SPIKA wa BUNGE Kiongozi wa MHIMILI wa NCHI Anakiuka Kwa Makusudi KATIBA ya NCHI kwa Kuwatetea WABUNGE Waliofukuzwa na CHADEMA Licha ya kutokuwa na SIFA za kuwa WABUNGE. SPIKA Ndugai ALIAPA kuilinda na kuitetea KATIBA lakini leo ndio KINARA wa KUIVUNJA najiuliza kama SPIKA Aliapa Kuilinda na Kuitetea KATIBA kwanini ANAIVUNJA?

Je Yeye ni Nani mpaka Afanye hivyo na Hakuna wa Kumkemea? Wakati umefika kwa wenye MAMLAKA hasa RAIS WETU Kuhakikisha Anawakemea wale Wote Wanaoichezea na Kuivunja KATIBA ya NCHI na Kuwataka Waiheshimu KATIBA yetu kama Walivyoapa.

Tukumbuke Wakati wa KUAPA Tulimshirikisha MUNGU WETU. Hivyo MUNGU Asidhihakiwe.
Inakera sana. Hata hivyo atalipa tu akiwa hai. Mda unajongea.
 
Naunga mkono jina la Mungu is just a name, na dini ni fomalities tuu, lakini in reality, there is a Supreme Being who created us and everything, call HIM whataver the name, Almighty God, The Father, Mungu, Allah, Murungu, Alfa na Omega, or whataver the name, regardless the religion or denomination, HE is there, na hukumu yake inaitwa Karma and is real!.
P
Well said, i second
 
Za underkapeti Ngudai analamba fifty 50% ya kila kichwa cha Covid 19 upo? Usione mishipa ya shingo inamsimama bure kuwalinda .
 
Back
Top Bottom