mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,596
Lakini si una furaha[emoji23]Haoana
Lakini si una furaha[emoji23]Haoana
Nakubaliana na wewe eneo hili.Mkuu, nina uhakika akipata psychiatrist akamfanyia evaluation ataongea mengi ambayo hajasema hapa.. loneliness ni moja wapo ya sign,mtu anapoteza appetite ama morali na vitu ambavyo mwanzoni alikuwa akivifurahia ikiwemo sexual intercourse.
Nakuunga mkono,we ushasema uko mpweke imeelewekaHata nkifunguka sioni pa kutokea
Ntapambana mkuu
ACheni ushauri mwingi, wapweke tupo wengi acha tuungane 😎Pole ndugu.
Kuna kitu hakiendi sawa katika kawaida yako, au umekua na matokeo usiyoyataria.
Katika hali ya kawaida hauwezi kupata utulivu bila ya kusulihisha hivyo.
Bahati nzuri tumejaliwa akili, ambayo tunaweza kuitumia kupata suluhisho ya kila kinachotusibu.
Tengeneza akili yako isilipe umuhimu jambo ambalo halipo lililokosekana maadamu uzima upo.
Unda akili yako iwe inapuuza kila kisicho cha muhimu, unda akili yako izalishe furaha kutoka kwako wewe na si kwa mwingine alie nje ya wewe.
Well noted sir!Kaa na watu ambao mna same interest & Hobbies kisha ishi Maisha yako.
Epuka kuwaza Kesho yako na Mabaya yako yaliyopita.
Tafuta kijana charming, ishi nae
Ni kweli mkuuIla kweli[emoji23] orgasm zinasaidia kupunguza upweke.....
Ndio maana nikasema huwezi weka loneliness na depression na anxiety katika tabaka moja la changamoto za kiakili.Hivi kuna binadamu ambae hawezi tokewa na hisia ya upweke kwenye hii dunia?
Leo unakuja unafanya hobby zako na kujiweka busy kesho unashangaa haupo
Baada ya week siku mbili unakutokea.
Watu wako busy kunisimanga mie kumbe nao wapweke [emoji38][emoji38]Tumejaa hapa tunatoa upweke [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Abigail Nabal, Daudi nipo hapa. Sitamdhuru Mumeo kwa unyeyekevu wako. Karibu Dodoma. Mi mke wa Uria nimemuacha DarDeep inside najiona mpweke na sijui shida nini! Nkiwaza suluhisho sijui ni nini, najiona niko mwenyewe.
Kuna mtu anaexperience hii hali?
Hivi kuna binadamu ambae hawezi tokewa na hisia ya upweke kwenye hii dunia?
Leo unakuja unafanya hobby zako na kujiweka busy kesho unashangaa haupo
Baada ya week siku mbili unakutokea.
Yaani kuwa na baby wala sio suluhisho..tena huenda ikawa worse zaidi....unatamani kuangalia mziki yeye yuko na man u...karaha zaidiHujawahi kuwa na bebs hapo pembeni na bado ukajihisi upweke??? Mi kwakweli hii hali huwa inanitokea namuelewa kabisa mleta thread
Tatizo liko hapa,kidole kimoja hakivunji chawa,tafuta msaidizi wako.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] niko single
None of those.Unadaiwa na bank? Au umetest positive HIV
Well noted sir!
Asante
Mi ndio maana nashindaga bar baada ya kazi 😂😂😂Upweke unatokea hasa pale Nafsi yako inapohisi haina msaada, au kuna Jambo limeenda ndivyo sivyo, au haupewi attention wala kujaliwa, kupuuzwa,
Upweke pia unatokana na kukaa na watu msiofanana kihulka, hobbies na interest,
Upweke pia inasababishwa Kwa kukaa sehemu moja na mazingira yaleyale kila mara Hali inayopelekea mazoea,
Upweke unatokana pia na Kukosa kitu cha kufanya.
Upweke unawakumba Watu wasio na Ratiba pia. Jiwekee Daily Routine, kisha itekeleze hiyo Ratiba.
Shida ni lugha kali..sio ulichoandikaKwa namna nimekutikisa na umeonyesha kupata msisimko japo kidogo then ni dhahiri nipo sahihi.
Unaonekana haujapata mambo mazuri muda mrefu.
Pole Abigail,Deep inside najiona mpweke na sijui shida nini! Nkiwaza suluhisho sijui ni nini, najiona niko mwenyewe.
Kuna mtu anaexperience hii hali?
Mi ndio maana nashindaga bar baada ya kazi 😂😂😂