Najihisi kuchanganyikiwa....


mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh hapa ndo penyewe akuuuuuuuuuuu
 
lol! alishanitaka kunipa za uso kavu kavu kule kwenye PM kwa kuuliza swali hili, lakini kama unijuavyo yours truly nikaanza kurudisha za uso kwa speed kali sana ikabidi awe mpole tu lol! hahahahah na kuniambia maneno ambayo mwenyewe hayajaweka hapa, kwanini aliamua kutumia ID tofauti. Nilimuonea huruma kusema kweli maana binti anaelekea anampenda sana jamaa, lakini ndiyo hivyo tena jamaa labda ndio kishasepa au "anajipanga upya"

akikujibu au akijichanganya tu nicopy best.
looo mavitu kama haya jf ndo nliyoyamiss
 
Unanichanganya Mkaka halafu ni Mjane ana watoto wawili?

Mapenzi yanautesa moyo wee - Belle9

ha ha ha Asprin Paloma nimewamiss jamani
mleta mada msikilize snowhite Mamndenyi Kongosho BADILI TABIA
endelea kulialia lia mpaka kesho mwenzako kawapanga humu jf na nje kama 15 hivi na bado kuna mmama mmoja wa ARUSHA atakujia kulia humu ndani na id mpya soon.
Hiyo ni king uliyoingia unatakiwa ujitoe mapemaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha mie hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mieeeeeeeeee ila huyo mjamaaa mi chichemi loooo
 

ahsante mwayaaaaaaaaaaaaa umenfanya nitoke humu kwa kutabasamu i wish nikuambie kitu ila ngoja ninyamaze jamaaa hakutaki na kiukweli hakufai deserve some1 better than him.
Na wewe ufala sana ulitakiwa umpige chini kabla hajakupigaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Mh... hii story ya mjane fulani humu nimeishaisoma zaidi ya mara moja, na kuna hata thread nyingine ilikuja ya kumbutua... kumbe ile mbinu bado inafanya kazi?
hapa ndo mnatakiwa kumwambia ukweli huyu mleta mada hata pm jamani hii ni janga
 
ila huyu mjane ni staraiker
ehehehhehe amu mekumithi odo upo?
kuna mmama wa arusha tena anakuja na id nyingne?
wale wa dar wamemaliza kulia?
 
Last edited by a moderator:
ila huyu mjane ni staraiker
ehehehhehe amu mekumithi odo upo?
kuna mmama wa arusha tena anakuja na id nyingne?
wale wa dar wamemaliza kulia?
nipo odo afu sijakuona kwa besidei yangu uwiiiiiiiiiiiiiiiiii nalogout sasa baada ya kupanua mapafu yangu kwa leo
 
nipo odo afu sijakuona kwa besidei yangu uwiiiiiiiiiiiiiiiiii nalogout sasa baada ya kupanua mapafu yangu kwa leo

ulikuwa na besideii nataka keki yangu!
af umeadimika kweli yani,kwema?:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…