Kigamboni kama unaenda Mji Mwema kuna masanduku ya dhahabu yamefichwa natafuta mtu tukayachukue

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,807
Leo asubuhi mida ya saa kumi na moja
Kama ilivyokawaida yangu kufanya mazoezi.

Mara nyingi mbio na mwendo wa haraka kutoka kigamboni ferry mpaka mji mwema nilikuwa nakimbia ila kufika maeneno ya Malaika beach karibu na sherry ya lake oil jirani na Malaika school kama unaenda mjimwema unafika kongowe Wala njia ya kurudi mbagala unapitia uhasibu au kwa azizi Ally kabla ujafika uwanja wa taifa njia ya kwenda mbezi.

Au Barbara ya magari ya mikoani inategemea yanga na Simba watacheza lini mechi au mpaka Tanzania itakapopata uhuru au kama vita vya Russia na Ukraine inategemea wewe ni CCM au ACT Wazalendo.

Tafuta pesa wewe.
Acha kitonga.
 
Leo ahsubui mida ya saa kumi na moja
Kama ilivyokawaida yangu kufanya mazoezi

Mara nyingi mbio na mwendo wa haraka kutoka kigamboni ferry mpaka mji mwema nilikuwa nakimbia ila kufika maeneno ya Malaika beach karibu na sherry ya lake oil jirani na Malaika school kama unaenda mjimwema unafika kongowe Wala njia ya kurudi mbagala unapitia uhasibu au kwa azizi Ally kabla ujafika uwanja wa taifa njia ya kwenda mbezi

Au Barbara ya magari ya mikoani inategemea yanga na Simba watacheza lini mechi au mpaka Tanzania itakapopata uhuru au kama vita vya Russia na Ukraine inategemea wewe ni ccm au act wazalendo

Tafuta pesa wewe
Acha kitonga
Kaliua na Tabora kwa ujumla kuna vichaa wengi sana.

Mpaka MaDr ni vichaa.
 
Leo ahsubui mida ya saa kumi na moja
Kama ilivyokawaida yangu kufanya mazoezi

Mara nyingi mbio na mwendo wa haraka kutoka kigamboni ferry mpaka mji mwema nilikuwa nakimbia ila kufika maeneno ya Malaika beach karibu na sherry ya lake oil jirani na Malaika school kama unaenda mjimwema unafika kongowe Wala njia ya kurudi mbagala unapitia uhasibu au kwa azizi Ally kabla ujafika uwanja wa taifa njia ya kwenda mbezi

Au Barbara ya magari ya mikoani inategemea yanga na Simba watacheza lini mechi au mpaka Tanzania itakapopata uhuru au kama vita vya Russia na Ukraine inategemea wewe ni ccm au act wazalendo

Tafuta pesa wewe
Acha kitonga
Ugonjws wa akili sio mzuri
 
Mengine yapo Iringa,nyuma ya jiwe Gangilonga......njoo tukayachukue.
 
What type of weed you've been smoking?
What type of drinks you've been sipping?

From the song So into you.
 
Leo asubuhi mida ya saa kumi na moja
Kama ilivyokawaida yangu kufanya mazoezi.

Mara nyingi mbio na mwendo wa haraka kutoka kigamboni ferry mpaka mji mwema nilikuwa nakimbia ila kufika maeneno ya Malaika beach karibu na sherry ya lake oil jirani na Malaika school kama unaenda mjimwema unafika kongowe Wala njia ya kurudi mbagala unapitia uhasibu au kwa azizi Ally kabla ujafika uwanja wa taifa njia ya kwenda mbezi.

Au Barbara ya magari ya mikoani inategemea yanga na Simba watacheza lini mechi au mpaka Tanzania itakapopata uhuru au kama vita vya Russia na Ukraine inategemea wewe ni CCM au ACT Wazalendo.

Tafuta pesa wewe.
Acha kitonga.
Kwani huna ndugu?
 
Back
Top Bottom